Tatizo la board ya mikopo Helsb

Victor Chilambo

Senior Member
Joined
Jan 31, 2019
Posts
122
Reaction score
62
Kwa mwenye kujua namna ya utatuzi katika mfumo huu mpya wa bodi ya mikopo Helsb yaan kila niki attach file kwenye Guarantor id card in pdf form ina leta mrejesho wa
Invalid file type naombeni msaada
 

Attachments

  • IMG_20230905_043008.jpg
    24.6 KB · Views: 19
Shida vipengele vya juu ujavijaza na ukavikomfemu vikareta tiki ya kijani jaribu kujaza kwa series hadi ufike sehemu hiyo itakubali tu
Pale post atfer form four tunajaza nn ikiwa mtu ame soma advanc then akaenda diploma matokeo ya advanc hayakua sawa so ni diploma au form six
 
Ndugu zangu mnaendelea kupata shida ya kufunguka kwa vipengele kwa mfano guarantor details inaload tu hakuna data zozote zinazoenesha nimeenda kwa series vipengele vyote vya juu vina tiki ya blue na sasa hata hivyo vyenye tiki nikifungua havifunguki tena
 
Log out kisha log in upya au badili browser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…