Pre GE2025 Tatizo la chaguzi za Afrika ni nini hasa? Kwa nini wazungu wanaheshimiana sana kwenye chaguzi zao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo Nchi za Ulaya zilikuwa huru na kujenga taasisi zao kwa miaka mingapi na bado zipo pamoja na miaka 400 ya uhuru bado wana matatizo ya Uchaguzi.Kila muundo ni process na cha kwanza tunachopaswa kukubali ni kuheshimu matokeo.
 
Kwa hiyo kumbe USA kuna voter suppression ya watu weusi. Na kwamba Kaburu wa South Afrika alikuwa anapiga kura yeye tu.

Sasa hawa wazungu wawili wenye tatizo na chaguzi umewatumia hapa ili waisaidieje hoja yako ?

Una tatizo la logic! Na ndio kiini cha matatizo mengi, kama si yote, ya Mwafrika.

Hata kwenye chaguzi tatizo ni Uzinjatropus wa wananchi. Kwa saab hata kama CCM wanaiba kura, haiwezekani wanabadilisha 10% CCM vote kwenda 85%. Lazima kuna kama 40% au 50% ya ukweli ya CCM, halafu wanaiba kama 15% to get them over the hump, halafu wanasema tumeshinda by 65% or 85.

Sasa hawa 50% au 60% ya Watanzania wanaopigia kura CCM, wana akili vichwani?

Wanaokunywa maji machafu ya visimani, wanakufa wakizaa kwa kukosa laki moja unusu, watoto wanasoma shule mbovu, vijijini huko wanalipa nauli za elfu nne, tano, kwenda mjijini, wana njaa wanashindia vindizi vya vijijini vyembamba vibayaaaa! Hawa watu wazima vichwani ?
 
Ungejibu kwa hoja kuelezea au kupinga na sio kuleta taarabu na vichambo kama wanawake wa uswahilini!be matured.
Kajinyee basi. wewe umeleta hoja gani ya kujibiwa kwa hoja?
Kachambe kinyesi chako mwenyewe .
Huna huo u born town wewe ni kasuku tu.
 

Man you know nothing. Hamna hata fact moja uliyojibu.
Huwezi kuheshimika kama hujiheshimu.

Amna mtu anawaingilia, insecurity zenu wenyewe na tamaa ndio zinawafikisha hapa
 
Ndio maana nikauliza kwa nini wazungu wao kwa wao wanaheshimiana sana katika uchaguzi? Yani wao kuibiana kura katika uchaguzi ni jambo nadra sana hata katika tawala za hovyo kama za makaburu wa Africa Kusini!
 
Hizo Nchi za Ulaya zilikuwa huru na kujenga taasisi zao kwa miaka mingapi na bado zipo pamoja na miaka 400 ya uhuru bado wana matatizo ya Uchaguzi.Kila muundo ni process na cha kwanza tunachopaswa kukubali ni kuheshimu matokeo.
Hizo nchi Magharibi hata katika chaguzi zao za mwanzoni tu katika mfumo wa ushindani wa vyama vingi bado hakukuwa na matatizo makubwa ya kiuachaguzi pamoja na kwamba hawakuwa na mahali pengine pa kujifunza namna ya kuendesha chaguzi kama sisi Waafrika.
 
Kuitwq mpuuzi sio tusi Basi naomba nikuite wewe ni "mpuuzi". Nimekwambia nitajie Nchi ambayo kiongozi wake ametajirika kupitia uongozi wa kisiasa unaleta ngonjera..
Uzi unalenga lenga hasa wazungu wa West (Marekani na Ulaya/EU) hao wengi wa mashariki kama Serbia, Russia, Belarus wako mbali sana kiutamaduni na West.
Sasa sisi Waafrika tuko nao hao mawesti sawa Kiutamaduni?
Porojo tu hizi. Hakuna lolote hapo ambalo halijulikani
 
Wacha kupotosha .

 
Ghana iondoe kwa sababu muda mrefu imekuwa katika mapinduzi na tawala za kijeshi, Liberia nayo muda mrefu sana imekuwa katika migogoro mikubwa ya kisiasa na vita vya kugombania madaraka, Botswana ni ngumu kuisemea katika demokrasia ya ushindani kwa sababu hakujawahi kuwa na chama chenye nguvu cha upinzani tangu uhuru ku challenge chama tawala.
 
Mwafrica ni halali yake kutawaliwa na kusimamiwa, kwa sababu wengi wao, wana tofauti ndogo sana na wanyama.

Kwa wanyama, ni yule mwenye nguvu ndiye huchukua vyote. Hata jogoo hafanyi mawasiliano yoyote na tetea wala majogoo wengine. Jogoo anayeweza kuwapiga kwa nguvu majogoo wengibe wote, anawabeba tetea wote bila hata ya kuwauliza wale tetea kama wanamkubalia.

Ndiyo maana chaguzi za nchi nyingi za Afrika ni uchafu mtupu. Na uchafu hufanywa zaidi na watawala. Kwa vile watawala wana nguvu za dola, basi huyatumia maguvu hayo kupora madaraka bila ya kujali maamuzi ya wananchi. Halafu huo upumbavu ndio wanauita demokrasia ya Waafrika. Very stupid!!

Bahati nzuri haya mapumbavu yanayopenda kujificha kwenye "demokrasia ya Waafrika", yanapotekeleza unyama wao, yanazidi kupungua. Hatua kwa hatua, baadhi ya nchi zinazidi kustaarabika, na kuheshimu maamuzi ya wananchi:

Afrika ya Mashariki, Kenya imekwishaondoka kwenye huo upumbavu.

Afrika Ya Kusini, Botswana, Malawi na Afrika Kusini zimeondoka kwenye huo uoumbavu.

Afrika Magharibi, Nigeria, Liberia na Ghana wameondoka kwenye huo upumbavu.
 
Huko USA unadhani kuna democracy? Hao wawakilishi na maseneta wanao zeheka wako kazini miaka 40 na majimbo yao watu wako taabani. Ni mchezo wa pesa na uongo
 
Huko USA unadhani kuna democracy? Hao wawakilishi na maseneta wanao zeheka wako kazini miaka 40 na majimbo yao watu wako taabani. Ni mchezo wa pesa na uongo
Ukomo wa miaka sio kitu muhimu sana kama uchaguzi ni huru na wa haki, ndio maana unaona maseneta wengi tu huwa wanapoteza viti vyao au wanaacha kugombea wanapoona kura za maoni sio nzuri kwao.
 
Soma historia kwa mazingatio....!

Wazungu wamejenga mataifa na utaifa ni ktk tunu zao....wameanza zamani sana. Waafrika bado hatujajenga mataifa wala hatuna utaifa, We identify by our tribes and religions.

Kiwango chao cha utaifa(chawa wanaita uzalendo) unakiona kwa namna wazungu wanathamini vitu vyao....washabiki wa michezo kama soccer wanaliona hilo...watu wa mji wanashangilia na kuwa wazalendo kwa timu za miji yao...katika mambo ya kimataifa, hawana time kujua mambo ya watu unless yana faida kwao...

Waafrika kwa kuwa hamjitambui ndiyo mtu kazaliwa kamachumu anashangilia timu iko Daslam [emoji2]....unaishi Namanyere lakini shule unasoma historia ya French revolution...[emoji1787]

Wazungu Walifika hapo baada ya kuzichapa sana na alipokosekana mshindi wakakubaliana kukaa chini na kutafuta namna bora ya kuendesha nchi na kwamba yoyote miongoni mwao atakayesaliti makubaliano hayo sheria zitachukua mkondo wake bila kusita pasi na kujali hadhi wala historia yake. Ndiyo maana wazungu ukivunja sheria na ukakutwa na hatia jela inakuita bila kujali wewe ni nani....Africa hamjafika hapo kwa kuwa hamuheshimiani!

Bottom line.... wazungu walizipiga sanaa! Hata huko marekani zilichapwa sana!

Bila kuzipiga hamuwezi kuheshimiana....angalia wakenya wanavyoheshimiana ingawa hawajafika level ya wazungu lakini hopefully on the right track....wamefika hapo baada ya kuzipiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…