Habari za Jumapili wakuu,
Nimekuja kwenu nina tatizo moja, nina mchumba wangu ninampenda sana kwakweli ila ana tatizo la chunusi ambapo hili swala linamkosesha raha na hata Mimi pia. Natamani amgepata kitu cha kumsaidia msichana wangu anauso wa mafuta kiasi ameshajaribu kutumia mpaka zile bidhaa za forever living ila zilitulia zikarudi.
Ushauri wenu Tafadhali.