Tatizo la chunusi

Nyanda21

Senior Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
134
Reaction score
60
Habari za Jumapili wakuu,

Nimekuja kwenu nina tatizo moja, nina mchumba wangu ninampenda sana kwakweli ila ana tatizo la chunusi ambapo hili swala linamkosesha raha na hata Mimi pia. Natamani amgepata kitu cha kumsaidia msichana wangu anauso wa mafuta kiasi ameshajaribu kutumia mpaka zile bidhaa za forever living ila zilitulia zikarudi.

Ushauri wenu Tafadhali.
 
Hata kama ni wewe usione aibu....

Jaribu kati ya hivi:

-asali
-limau
-manjano
-mdalasini mix na asali
-yai mix na limau
-aloevera maji maji yake
-mvuke wa maji ya moto
-matango

Halafu awe anasafisha uso mara kwa mara na maji safi.

Pia anywe maji mengi na usingizi wa kutosha.
 
Huyo anatakiwa apakwe bao la 7 katika uso wake,chakufanya wewe mkiwa faragha jitahidi kupiga mpaka bao sita alafu la saba unamwagia usoni.
 
kuna kipindi ghafla tu nikatokewa na chunusi kuna dada insta anatoza elf 5 akuelekeze za kufanya whatsapp ana njia kama 2 ila nilifanya hii niliona nyepesi kipande cha limao unakamua unaweka na tumaji tudogo tu unaanza paka na pamba bada ya dk 10 unaosha uso unafanya hivyo mpk chunusi zinaisha na kweli ziliisha
 
Anha basi ni vizuri,mleta mada chukua hii kwa matokeo ya haraka.
 
Hii thread inatakiwa niitunze sehemu. Athante kwa elimu
 
Manjano awe extra care,
inakataa watu wengine.
 
Ukipata usingizi wa kutosha ndio chunusi zinasepa zote?
 
Tumia detol na dodoki,halafu baada ya kujisugua usipakae kitu chochote.Lazima ifanye kazi.
 



Scorpion gan mwanamke bana....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Mh! Nawe, umekuwa daktari!
 
Ajitahidi kubeba mimba,akijifungua tuu tatizo litaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…