lucas classic
Member
- Apr 22, 2019
- 17
- 20
Ngoja niwape elimu kidogo
Kwenye pikipki kuna kitu kinaitwa CLUTCH HOUSING ambayo inabeba clutch plate,sasa hiyo clutch housing ikiwa inacheza Mara nying ndo inaleta huo mlio unaohusikia,na Mara nying ukiweka gia ukitaka kuondoka hiyo kelele inajitokeza,nenda kwa fund mwambie akubadilishie clutch housing Ngoma iwe mpya