VictoriaGreenHerbal
Member
- Mar 7, 2025
- 65
- 88
Fangasi sehemu za siri ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi. Dalili zake ni kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya, kuwasha, na hali ya aibu hasa unapokuwa karibu na watu au unaposhiriki tendo la ndoa. Tatizo hili likiachwa bila matibabu linaweza kuendelea kukuletea usumbufu mkubwa na kupunguza kujiamini kwako kama mwanamke.
Fanya hivi ukiwa nyumbani kwako
Habari njema ni kwamba kuna njia ya asili na rahisi inayoweza kusaidia kupunguza tatizo hili. Dawa hii hutumia vitu vya kawaida vinavyopatikana jikoni:- Kitunguu swaumu (punje 6)
- Maziwa ya mtindi (kikombe kimoja)
Jinsi ya Kuandaa
- Menya punje 6 za kitunguu swaumu.
- Zitwange vizuri hadi ziwe laini.
- Changanya kwenye kikombe kimoja cha maziwa ya mtindi yaliyo ganda.
- Koroga vizuri hadi upate mchanganyiko wa dawa.
Jinsi ya Kutumia
- Kunywa: Grasi moja asubuhi na grasi moja jioni.
- Kupaka: Baada ya kunywa, chukua sehemu ndogo ya dawa hii na upake kwa ndani sehemu za siri. Hii inashauriwa zaidi kufanyika usiku kabla ya kulala.
Kwa wenye tatizo hili muda mrefu
Ikiwa umekuwa na tatizo la kutoka na uchafu wenye rangi au harufu kwa muda mrefu, basi ni vyema upate msaada wa haraka zaidi. Karibu ofisini kwetu Mwanza Mkolani, ambapo tunatoa dawa maalum na yenye nguvu zaidi kukuondolea tatizo hili kwa haraka.Tupigie au tuma WhatsApp kupitia namba +255747558143.
Kwa wateja walio mbali, tunakutumia dawa popote ulipo na inakufikia ndani ya masaa 12 tu. Usikubali tatizo hili liendelee kukuathiri.