Tatizo la Feisal liko wapi?

"Bora nisicheze mpira kuliko kuitumikia Yanga"

Nyie Gongowazi mlimfanya nini huyu dogo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] marinda hayatolewi hovyoo, tena kwa mtu huna hisia naee, woiiiiiii
 
Hersi ndio mkuu hapo na sio kweli kuwa swala la Feisali anahitaji bodi wakati process za kusaini mkataba ulikuwa na mnilimge na ukifanyika kwake.

Na mkataba ulisainiwa usiku majira ya saa mbili wakiwa watu watatu Feisali, Hersi na yule mwingine aliyetajwa kiwa ana roho nzuri.

Hapo bodi imehusikaje?

Na ndio maana Feisali amemtaja Hersi kwasababu huyo ndio core ya matatizo
 
Feisal amekua kama malaya mzee, hana mbele hana nyuma... Anaomba mtaji wa kwenda CAS anaishia forodhan kunywa urojo... Clouds nao wamejivua chupi ktk hili
Ile michango ni geresha bwege tu wenye movie yao wanaangalia tu
 
Feisal kasaini mkataba wakati hajui kiingereza hilo ni kosa kisheria
 
Ndiye mkuu ila kwa muundo wa club Hersi hafanyi maamuzi yy mwenyewe, lazima bodi iamue. Nyie kama club yenu Mangungu anafanya maamuzi ya kila kitu yy mwenyewe ni nyie Yanga ni tofauti kwani si mali ya mtu.
 
Feisal kasaini mkataba wakati hajui kiingereza hilo ni kosa kisheria
Kama ingekuwa kosa kisheria Yanga isingeshinda mara tatu TFF.

Hiyo page yake ila may be atakuwa anaandikiwa.
 
Kuna watu ni wazito sana kuelewa slow learners, ni kupoteza muda kumjibu mtu kama huyu.

Kifupi Fei aende ofisi za Yanga akavunje mkataba wake.
 
Kipanya anamtaza dogo ,kwa umakini kuona uhalisia wa ndani
 
Kama ingekuwa kosa kisheria Yanga isingeshinda mara tatu TFF.
View attachment 2643219
Hiyo page yake ila may be atakuwa anaandikiwa.
Kwani si hata kesi ya Morrison yanga walishinda TFF ila walipoenda CAS wakaangukia pua TFF si wanazibeba simba na yanga we unaamini watasema simba au yanga ina makosa wapo kwa maslahi yao binafsi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…