cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
NakaziaaBandiko lenye kuleta tafakuri
Naunga mkono bandiko hili....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaaBandiko lenye kuleta tafakuri
Naunga mkono bandiko hili....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] marinda hayatolewi hovyoo, tena kwa mtu huna hisia naee, woiiiiiii"Bora nisicheze mpira kuliko kuitumikia Yanga"
Nyie Gongowazi mlimfanya nini huyu dogo?
Hersi ndio mkuu hapo na sio kweli kuwa swala la Feisali anahitaji bodi wakati process za kusaini mkataba ulikuwa na mnilimge na ukifanyika kwake.Hersi Yanga sio mali yake binafsi maamuzi yote akitaka kuyafanya lazima atakaa na bodi na kama alimwambia aende CAS yupo sawa, sababu hata Hersi atapita Yanga ataiacha na mkataba kaingia na Yanga na si Hersi.
Hamna kitu kama hiko yaani timu ipate matokeo chanya then wamuhisi mtu anatoa boko sioni haileti maana.
Halafu Kipanya leo alikuwa anawaenjoy.
View attachment 2642971
Feisal kasaini mkataba wakati hajui kiingereza hilo ni kosa kisheriaUbichi wake upo wapi ,kesi ishasikilizwa mara tatu na zote Yanga kashinda chini ya Simon na kamwaga mwasheria aliye simamia kesi ya Morrison mara mbili au may be kesi mpaka iwe mbichi inauwaje labda.
Halafu mwanasheria wake aliye bwagwa mara ya tatu ndio huyo kwenye clip anaongozwa na hisia,wakati wenzake wanasimama ktk hoja.
Sasa siaende huko CASAnachokitaka hajapewa.
Kwasababu alitaka kuondoka Hersi akamuambia hapa huondoki nenda CAS
Anaenda ila mchangie kwanzaSasa siaende huko CAS
Apate haki zake
Nishachanga tayariAnaenda ila mchangie kwanza
Ndiye mkuu ila kwa muundo wa club Hersi hafanyi maamuzi yy mwenyewe, lazima bodi iamue. Nyie kama club yenu Mangungu anafanya maamuzi ya kila kitu yy mwenyewe ni nyie Yanga ni tofauti kwani si mali ya mtu.Hersi ndio mkuu hapo na sio kweli kuwa swala la Feisali anahitaji bodi wakati process za kusaini mkataba ulikuwa na mnilimge na ukifanyika kwake.
Na mkataba ulisainiwa usiku majira ya saa mbili wakiwa watu watatu Feisali, Hersi na yule mwingine aliyetajwa kiwa ana roho nzuri.
Hapo bodi imehusikaje?
Na ndio maana Feisali amemtaja Hersi kwasababu huyo ndio core ya matatizo
Kama ingekuwa kosa kisheria Yanga isingeshinda mara tatu TFF.Feisal kasaini mkataba wakati hajui kiingereza hilo ni kosa kisheria
Kuna watu ni wazito sana kuelewa slow learners, ni kupoteza muda kumjibu mtu kama huyu.Baada ya feisal salum kuzungumza leo kupitia clouds fm mambo mbali mbali aliyopitia yanga na maisha yake ya soka kwa ujumla ila bado kuna vitu vinafikirisha sana kwa yale aliyoyasema dhidi ya yanga tupate tafakuri kidogo ya mambo hayo:‐
Feisal alikuwa mchezaji wa yanga toka kipindi wanapitisha bakuli iweje ghafla tu kijana alazimishe kuvunja mkataba tena kipindi cha neema.
Mudathir yahya na sureboy waliomba kuondoka AZAM fc kwenda yanga na wakaruhusiwa kuondoka bila migogoro tatizo la feisal liko wapi.
Manara alipokuwa simba ilivuja clip analia akidai anateswa na aliyekuwa CEO wa simba mwanadada Barbra Gonzalez na malipo kiduchu ya mshahara kama house girl manara akatoka simba akaenda yanga kwasababu ya maslahi yake binafsi na ugomvi binafsi sasa feisal akisema ana tatizo na engineer na sio yanga tatizo liko wapi.
Feisal anadai hajui lugha ya malkia na amesaini kitu asichokijua labda kutokana na pressure au ahadi alizoahidiwa ahadi hazijatimia kaamua kuondoka tatizo liko wapi.
Feisal alirudisha pesa anazotakiwa kurudisha ikiwa atavunja mkataba na yanga kama ilivyokuwa kwenye kipengele chake alifanya hivyo ili aondoke tatizo liko wapi.
Kama feisal alivumilia kipindi cha zahera na team ilikuwa na hali mbaya kwa nini yanga wanashindwa kumpa thamani yake na kumuheshimu kama tatizo ni hela kwa nini hakuondoka kipindi cha bakuli akaenda lunyasi ila kwa mapenzi yake akaaamua kubaki jangwani tatizo la feisal liko wapi.
Kama yanga wanadai feisal ni mdogo kuliko yanga na ni kweli sasa kwa nini mnang'ang'ania abaki jangwani wakati kipengele cha ku terminate mkataba kipo feisal sio wa kwanza kuvunja mkataba kwa club na haitakuwa mwisho kumbukeni uhuni mliofanya kwa yondani marehemu sonso na lamine pamoja na saidoo na lucy aymel na walikuwa na mkataba bado ila mlifanya uhuni sasa nini kinashindikana kwa feisal.
NB:Kama mashabiki wa yanga wanaamini haji manara ni yanga damu licha ya kuwatukana na kuwaita majina ya kejeli kibao basi ni ngumu pia kuamini aliyoyasema feisal
Kama Morrison alishinda CAS kwa nini feisal asijaribu bahati yake kumbuka yanga hawajawahi kushinda kesi yoyote hata iwe ya kuku wakiongozwa na mwanasheria wao.
Simon Patrick aliwaingiza yanga chaka wakaenda CAS wakaangukia pua na hapa kawaingiza chaka kwa feisal wanaenda kuoga mvua na fine kam kawaida yao.
Na wajinga wengine kama hawa, sasa ile issue iliyotokea jana si ujinga mtupuTATIZO LA FEISAL NI UJINGA HAKUNA ZAIDI YA HAPO
Kipanya anamtaza dogo ,kwa umakini kuona uhalisia wa ndaniHersi Yanga sio mali yake binafsi maamuzi yote akitaka kuyafanya lazima atakaa na bodi na kama alimwambia aende CAS yupo sawa, sababu hata Hersi atapita Yanga ataiacha na mkataba kaingia na Yanga na si Hersi.
Hamna kitu kama hiko yaani timu ipate matokeo chanya then wamuhisi mtu anatoa boko sioni haileti maana.
Halafu Kipanya leo alikuwa anawaenjoy.
View attachment 2642971
Na kuna wajinga hawaoni huo ujinga wakeTATIZO LA FEISAL NI UJINGA HAKUNA ZAIDI YA HAPO
Kwani si hata kesi ya Morrison yanga walishinda TFF ila walipoenda CAS wakaangukia pua TFF si wanazibeba simba na yanga we unaamini watasema simba au yanga ina makosa wapo kwa maslahi yao binafsi tu.Kama ingekuwa kosa kisheria Yanga isingeshinda mara tatu TFF.
View attachment 2643219
Hiyo page yake ila may be atakuwa anaandikiwa.
Kaka Yanga haikushida pale TFF ilishindwa kote koteKwani si hata kesi ya Morrison yanga walishinda TFF ila walipoenda CAS wakaangukia pua TFF si wanazibeba simba na yanga we unaamini watasema simba au yanga ina makosa wapo kwa maslahi yao binafsi tu.