Tatizo la Feisal liko wapi?

Unajificha sababu hujui ni taratibu zipi nje ya zile bosi wako Hersi alizosema. Unanirudishia interview ambayo nimeitumia kukuuliza maswali.

INSHORT HUJUI NI NINI FEI ANATAKIWA KUFANYA NJE YA ALIYOELEKEZWA NA HERSI.
Nijifiche vip wakati issues ipo wazi TFF na tushashinda mara tatu.

Hersi yy kwenye swala la Fei sio msemaji bali hata yy anapokea ripoti kutoka kwa Mwanasheria wa Yanga anaye isimamia kesi.

Na hata anacho kiongea Hersi wa kwanza kukiongea alikuwa ni Mwanasheria wa Yanga, alivyo fanya mahojiano na waandishi wa habari baada ya kesi ya Fei ndicho hata mimi ninacho kijua.

Au wewe mwanasheria wa KUJIPACHIKA una unacho kijua zaidi ya wanasheria waliosimamia kesi ya Fei?
 
Kwa hiyo mkataba wake hauna exit room ya mchezaji kuondoka mwenyewe bila kutakwa na timu? Yaani mchezaji akitaka kuondoka option ni tatu tu, Kumalizia mkataba, kuboreshewa maslahi au timu inayomtaka ije? Ndivyo mkataba unavyotaka?
Exit ipo ila still kuna taratibu zake. Halafu kuboreshewa mkataba sio lazima, club inaweza kukataa wakastick na mkataba walio ingia na ww mpaka mwisho na ukaondoka as free slagent hata ulaya ipo sana.

Hizo option Yanga katoa sababu mpaka sasa kisheria mchezaji yupo chini ya Yanga.

Mfano mdogo Mason Mount anataka 300K,Chelsea wamemwambia hawana, ila still Chelsea ndiye mwenye kauli na Mount sababu ni mkataba na still Chelsea vilevile anaweza akaamua amuuze au amwache atumikie mkataba wake mapaka utakapo isha aondoke kaa free agent.
 
Kwani unafahamu hata kesi ya Fei TFF ilikuwa juu ya nn? Na kwanini Fei alirudi mara mbili?

Ni hivi,

1.Yanga ndo walikimbilia TFF kupata ufafanuzi iwapo Fei amevunja mkataba kihalali au la, TFF wakasema hajavunja kihalali huyu ni mchezaji wenu.

2. Fei akarudi TFF akiomba apewe taratibu za kuvunja mkataba akaambiwa aende Yanga wakae mezani.
Hapa according to Fei anasema walikaa masaa 6 wakapewa option 3 ambazo hazihusiani na Fei kuvunja mkaba bali zinambana arudi kambini.

3. Fei akakata rufaa TFF, akapewa jibu lile lile kuwa inabidi urudi Yanga mmalizane au nenda CAS.

Fei kaona aende CAS. Kule anatafuta ushindi mmoja tu, uhuru wake. Iwe kwa kuambiwa alipe faini Yanga au vinginevyo, na ikishindikana basi kuliko kurudi Yanga atakaa mtaani.

Sasa nikuulize. Yanga inataka nini kwa Fei mpaka ilazimishe utaratibu ambao hauruhusu mchezaji kuondoka?
 
Unapingana na bosi wako? Bosi wako alikuwa tayari kuboresha maslahi ilimradi Fei arudi. According to yeye Fei ana nidhamu sana ila kuna mtu tu anamdanganya na wapo tayari kumpokea, ni kijana wao wanampenda.
 
Arudi atumikie mkataba wake au kama anataka kuvunjwa arudi mezani waongee.

Sasa mkataba umesaini wewe na Yanga,sasa TFF anahusika vipi?
 
Arudi atumikie mkataba wake au kama anataka kuvunjwa arudi mezani waongee.

Sasa mkataba umesaini wewe na Yanga,sasa TFF anahusika vipi?
Unaposema arudi mezani unamaanisha nini?

Hayo masaa waliyokaa na kupewa masharti matatu maana yake ni nini? Au kurudi tafsiri yake ni kuichezea Yanga?
 
Unapingana na bosi wako? Bosi wako alikuwa tayari kuboresha maslahi ilimradi Fei arudi.

Simon ndiye aliyekuwa wa kwanza kukiongea nje baada ya Yanga kushinda kesi na Hersi akaiongea juzi kwenye intvw ya Clouds baada ya Yanga kushinda kwa mara ya tatu.
 
Unapingana na bosi wako? Bosi wako alikuwa tayari kuboresha maslahi ilimradi Fei arudi. According to yeye Fei ana nidhamu sana ila kuna mtu tu anamdanganya na wapo tayari kumpokea, ni kijana wao wanampenda.
Napingana vp na boss wangu vp,wamemwambia aje mezani kuja mezani,mezani kuna matatu anaweza kuongezewa, anaweza akaambiwa abaki kwa hela hiyo hiyo mpaka mwisho wa mkataba aoendoke free na anaweza kuvunja mkataba kama makubaliano ya kifikiwa. Sababu sasa mwenye control kwenye mkataba ni Yanga.
 
anaweza kuvunja mkataba kama makubaliano ya kifikiwa.
Sasa kwanini hili limeshindikana walipokaa mezani kwa masaa sita? Na bosi wako hakuweka kwenye list kuwa hili linawezekana. Aliweka mambo 3 tu ambayo yote yanamwelekeza Fei kurudi kambini.
 

Jibiidishe na kazi ya kukuingizia kipato itakusaidia
 
Kwani hakuna kesi kama za Feisali zilizowahi kuamuliwa kwa mujibu wa sheria ilivyoandikwa?

Au unafikiri hili ni jambo jipya?

Kwani wanasheria wa Feisali uliwahi kuwasikia maoni yao ukaona wanapingana na maelezo yangu?

Unaelewa dhumuni lao la kuipeleka hii kesi CAS ni nini kama wanapingana na haya maelezo yangu?
 
Ujinga upi?

Kuvunja Mkataba Kihuni bila kufuata taratibu.

Mkataba amevunja instagram/facebook bila yanga kujua ,sasa kwenye hiyo clip ameambiwa aseme kwamba alishakaa na Hersi(Yanga) kwa saa 6.
 
Hapa umemueleweshaa ki ufasaha, asipo elewa basi muachee aendelee na kujitoa ufahamu wake
 
Sasa kwanini hili limeshindikana walipokaa mezani kwa masaa sita? Na bosi wako hakuweka kwenye list kuwa hili linawezekana. Aliweka mambo 3 tu ambayo yote yanamwelekeza Fei kurudi kambini.
Hivi unajua maana ya mazungumzo? Kwenye mazungumzo inategemea kuna kukubaliwa au kukataliwa. Mason Mount Chelsea still wanamtaka,ila dogo akataka kuongezewa hela,Chelsea kakataa now dogo kawasilisha ombi la kutaka kuuzwa still Chelsea anaonekana hataki kumwachia sababu bado anamkataba wa kuitumikia Chelsea.

Mazungumzo yakifanyika mmaweza mfikie au msifikie makubaliano, ila mwisho wa siku mkataba unasema Fei yupo chini ya Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…