Tatizo la feni

Tatizo la feni

da viper

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
158
Reaction score
43
Feni yangu haizunguki,inapata moto na inaunguruma tu
Tatizo ni nn?
 
Ok, tatizo la feni yako, kama we mwenyewe mtundu ifungue uangalie capacitor je imevimba sehemu yoyote au imepasuka? Kama capacitor iko sawa inawezekana kuna nyaya somewhere imekatika.
 
Ok, tatizo la feni yako, kama we mwenyewe mtundu ifungue uangalie capacitor je imevimba sehemu yoyote au imepasuka? Kama capacitor iko sawa inawezekana kuna nyaya somewhere imekatika.
Vile vile sio kila tatizo la feni kushindwa kuzunguka linasababishwa na capacitor tatizo jingine linasababishwa na uchafu pamoja na electrical field kuwa dhaifu hii inatokana na kufanya rust kwenye rotating end rod.
 
Sawa
Asante sana
Ok, tatizo la feni yako, kama we mwenyewe mtundu ifungue uangalie capacitor je imevimba sehemu yoyote au imepasuka? Kama capacitor iko sawa inawezekana kuna nyaya somewhere imekatika.
 
Shukrani
Vile vile sio kila tatizo la feni kushindwa kuzunguka linasababishwa na capacitor tatizo jingine linasababishwa na uchafu pamoja na electrical field kuwa dhaifu hii inatokana na kufanya rust kwenye rotating end rod.
 
Lizime halafu zungusha feni kwa mkono kama ni gumu kuzunguka ni uchafu wa vumbi au kutu tia mafuta kulainisha
 
Feni yangu imezima ghafla inaunguruma tu haizunguki. Nimejaribu kuifungua ukitoa yale mapanga ikibaki ile chuma tupu ukiwasha haiwaki ila ukii support kwa mkono inazunguka.

Lakini nikifunga mabawa hata nikiisapoti kwa mkono inazunguka kidogo inasimama sijajua nini tatizo
 
Pole mkuu ila mimi toka nipate model hii ya feni leo ni mwaka wa nane kama utaafford isake mahala popote hii fen ukipata org hujutii maisha yako yote
 
Aina hii ya feni nilinunua 3 ,ufanisi wake na uimara wake ni mkubwa mno ,bei nayo si haba niliipata kwa 120k Kariakoo kwa kila moja sijutii lolote kuhusu model hii
 
Attachments

  • PXL_20241228_124623053.jpg
    PXL_20241228_124623053.jpg
    250.9 KB · Views: 9
Back
Top Bottom