Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio feni ni aina gani mkuu, tafuta fen za kampuni ya xiaomi hutajuta.Feni yangu haizunguki,inapata moto na inaunguruma tu
Tatizo ni nn?
Vile vile sio kila tatizo la feni kushindwa kuzunguka linasababishwa na capacitor tatizo jingine linasababishwa na uchafu pamoja na electrical field kuwa dhaifu hii inatokana na kufanya rust kwenye rotating end rod.Ok, tatizo la feni yako, kama we mwenyewe mtundu ifungue uangalie capacitor je imevimba sehemu yoyote au imepasuka? Kama capacitor iko sawa inawezekana kuna nyaya somewhere imekatika.
Weka picha mkuu.Hio feni ni aina gani mkuu, tafuta fen za kampuni ya xiaomi hutajuta.
Weka picha mkuu.
Feni bora kuliko ni capacitoe tu mkuu nunua mpya weka hautadikia ng'weNi Star crown mkuu