ANT - NYONDENYONDE
Senior Member
- Jul 29, 2024
- 154
- 173
CHADEMA tangu kuanzishwa kwake imekuwa ikipewa nguvu zaidi na Wafuasi na mashabiki Wala sio wanachama wa chama hicho au Viongozi ambao kimsingi ni chini ya 10%
Kitu pekee CHADEMA wanapashwa kukilinda ni Mashabiki Wala sio wanachama Kwakuwa Tanzania iko kishabiki zaidi ya Uanachama na u-conservative,
Soma Pia: Joto la Uchaguzi CHADEMA Taifa lazidi kupanda, miongoni mwa wanachama wadai ni wakati wa Mbowe kung'atua
Leo ni wazi Mashabiki hawana imani tena na Freeman Mbowe huenda wanasababu au hawana ila kama CHADEMA itahitaji kuwa na ushawishi lazima wawazingatie zaidi Mashabiki na Wafuasi zaidi kuliko Wanachama au Viongozi.
Pitia hii pia imenifunza jambo KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?