Tatizo la Freeman Mbowe CHADEMA ni kupoteza Imani ya Wafuasi na Mashabiki wa CHADEMA Wala sio mapenzi ya wanachama au Viongozi wa CHADEMA

CHADEMA tangu kuanzishwa kwake imekuwa ikipewa nguvu zaidi na Wafuasi na mashabiki Wala sio wanachama wa chama hicho au Viongozi ambao kimsingi ni chini ya 10%

Kitu pekee CHADEMA wanapashwa kukilinda ni Mashabiki Wala sio wanachama Kwakuwa Tanzania iko kishabiki zaidi ya Uanachama na u-conservative,

Soma Pia: Joto la Uchaguzi CHADEMA Taifa lazidi kupanda, miongoni mwa wanachama wadai ni wakati wa Mbowe kung'atua

Leo ni wazi Mashabiki hawana imani tena na Freeman Mbowe huenda wanasababu au hawana ila kama CHADEMA itahitaji kuwa na ushawishi lazima wawazingatie zaidi Mashabiki na Wafuasi zaidi kuliko Wanachama au Viongozi.

Pitia hii pia imenifunza jambo KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?
Ni zamu ya CHADEMA
 
Chama chochote Cha siasa makini kinapaswa kuwasikiliza wafuasi na mashabiki wake kwa sikio kubwa pengine kuliko hata wanachama wake wakati mwingine, Chadema ikifimbia macho hayo itabaki na wanachama wake, lakini itapoteza Imani kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa chama hicho, upepo wa mageuzi kwa sasa upo kwa tundu lissu, chadema waitumie fursa hii vizuri, nje ya hapo wasitafute mchawi
CDM wapo vizuri watavuka salama
 
CHADEMA mko moto sana
 
CHADEMA tangu kuanzishwa kwake imekuwa ikipewa nguvu zaidi na Wafuasi na mashabiki Wala sio wanachama wa chama hicho au Viongozi ambao kimsingi ni chini ya 10%

Kitu pekee CHADEMA wanapashwa kukilinda ni Mashabiki Wala sio wanachama Kwakuwa Tanzania iko kishabiki zaidi ya Uanachama na u-conservative,

Soma Pia: Joto la Uchaguzi CHADEMA Taifa lazidi kupanda, miongoni mwa wanachama wadai ni wakati wa Mbowe kung'atua

Leo ni wazi Mashabiki hawana imani tena na Freeman Mbowe huenda wanasababu au hawana ila kama CHADEMA itahitaji kuwa na ushawishi lazima wawazingatie zaidi Mashabiki na Wafuasi zaidi kuliko Wanachama au Viongozi.

Pitia hii pia imenifunza jambo KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?
Sawa sawa
 
Sawa sawa mkuu,
 
True,aondoke
 
Back
Top Bottom