Futa namba yake sahivi.Nimemcheck fundi anasema hapo ni kununua engine nyingine.
Habari wana jamvi
Naomba kwa wenye ujuzi na uzoefu wa magari tusaidiane mawazo. Toyota vanguard inachanganya maji na oil. Kabla ya kufikia hatua hii ilikua inakula oil sana, kabla ya kilomita 3000 nusu ya oil imepotea.
Juzi imeanza kuwa na miss sana ikitembea kama 5km inazima. Leo nimecheck oil nakuta imepanda sana, ndio nikagundua inachanganya na maji.
Nimemcheck fundi anasema hapo ni kununua engine nyingine. Naomba wenye uzoefu tusaidiane mawazo, nikifanya overhaul gari haiwezi kukaa sawa? Hakuna option zaidi ya kununua engine nyingine.
Nawasilisha kwa ushauri wenu wadau
Jibu zuri hata mimi akili yangu ya haraka iliwaza kwenye Head gaskets na Gaskets za oil cooler...Kusema moja kwa moja shida nini si rahisi.
Inawezekana kuwa issue ya head gasket, seals za oil cooler, turbo charger (kama ipo) au hata cylinder head.
Ni aina gani ya gari?
Vipi ina chemsha?
Hata hivyo ufumbuzi kamili, fika kwa mafundi magari wa maana, tu.
Hilo ni known problem, halina ugeni.
Akili kisoda mshangazi, unahisi kilindi nalinunua baiskeli sikuziona? Punguza shobo na mihemko, kama huna la kuchangia pita kimya.Liuze
Nunua baiskeli.
Haina maji
Nipo dar mkuuUpo Dar?
Mcheki JituMirabaMinneNipo dar mkuu
Gari ni toyota vanguard ya 2009. Inachemsha mkuu, na ukiongeza maji hayavuji mahali lakin huyaoni pia kujaaKusema moja kwa moja shida nini si rahisi.
Inawezekana kuwa issue ya head gasket, seals za oil cooler, turbo charger (kama ipo) au hata cylinder head.
Ni aina gani ya gari?
Vipi ina chemsha?
Hata hivyo ufumbuzi kamili, fika kwa mafundi magari wa maana, tu.
Hilo ni known problem, halina ugeni.
Gari ni toyota vanguard ya 2009. Inachemsha mkuu, na ukiongeza maji hayavuji mahali lakin huyaoni pia kujaa
Si ulisema mpaka uolewe π
nilisema nikiolewa la mume wangu ndo ntaliosha home ila langu (ntanunua au ntanunuliwa ) ππSi ulisema mpaka uolewe π