Teremaro
Member
- Mar 18, 2022
- 29
- 26
Habari ndugu wana jamii forum, gari yangu aina ya nissan duals nmebadili plug juz tu,ila naona utofauti baada ya kubadili kwan gari kuna saa kama inashtukashtuka hivi kitu ambacho mwanzo hakikuwepo naomba mwenye kujua original plug za nissan duals anisaidie maana hawa mafundi wetu wanatuingiza chaka sana unajikuta umeingia hasara na pia kuharibu vitu vingine bola sababu.
Sababu ya kubadili zilizokuwepo mwanzo ni kwamba nliona kama gari inachelewa kuwaka nikiwasha kitu ambacho kwa sasa hakipo ila sasa tatzo limeanza tena gari kushtuka shtuka
Sababu ya kubadili zilizokuwepo mwanzo ni kwamba nliona kama gari inachelewa kuwaka nikiwasha kitu ambacho kwa sasa hakipo ila sasa tatzo limeanza tena gari kushtuka shtuka