Tatizo la gari kushtukashtuka

Tatizo la gari kushtukashtuka

Mafundi wetu changamoto sana mkuu, vp baada ya kubadili plug kwa jitu miraba minne sa hvi inadumbua bdo ? Na vp ulaji wa mafuta
Mkuu mpaka sasa nishatembea zaidi ya kilomita 120 haijashtuka hata mara moja, kitu ambacho hata kwa plug zile nilizobadili ilikuwa chini ya 30km ishaanza kushtuka na baada ya kufika mia tatizo linarudi jumla na kuendela kuwa baya siku baada ya siku.
Unajua cvt inapaswa ikupe fuel consumption nzuri, ila kwa tatizo ililokuwa nalo nilikuwa naona ulaji umeongezeka. Now naona iko safi kabisa mkuu. Ngoja niendelee kuipga tu misele
 
Back
Top Bottom