GYNEOCOLOGIST
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 171
- 110
Wakuu inapokuwa gari inatoa moshi mwingi tena wa bluu mara tu baada ya ku start engine, tatizo huwa inakuwa ni nini? matengenezo yake yanakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na wengine ni vyema mnapo uliza swali au kuomba msaada muwe mnaandika maelezo ya kutosha mfano aina ya gari,inatumia diesel au petrol au gas,au umemeWakuu inapokuwa gari inatoa moshi mwingi tena wa bluu mara tu baada ya ku start engine, tatizo huwa inakuwa ni nini? matengenezo yake yanakuwaje?
Sidhani kama vitu hivyo vinaweza kusababisha moshi wa blue.Vitu kama petrol filter+plugs+engine filter zitakuwa zimekufa..
Ungetoka moshi mweusi na siyo moshi wa blue mkuu.Hapo hakuna uwiano mzuri kati ya mafuta na hewa ndo maana combustion haifanyiki ipasavyo
Nashkuru kwa ufafanuzi, gari ina injini ya 3s na inatumia petroliMkuu na wengine ni vyema mnapo uliza swali au kuomba msaada muwe mnaandika maelezo ya kutosha mfano aina ya gari,inatumia diesel au petrol au gas,au umeme
Mnapo weka habari nusu nusu mtapewa ushauri ambao sio sahihi..
Mfano hapa ungesema gari yako inatumia petrol au disel ingekuwa ni rahisi sana harafu ina engine gani au ni gari gani.
Maana kwa ugonjwa wa gari lako utapewa ushauri tofauti na ugonjwa wako.
SABABU ZA GARI KUTOA MOSHI WA BLUE
Hapo ina maana oil inaunguzwa au inaingia kwenye combustion chamber kuunguzwa pamoja na mafuta.
SABABU ZINAZO SABABISHA OIL KUINGIA KWENYE COMBUSTION CHAMBER.
1.inawezekana valve seal zimechoka
2.cyrinder head gasket imechoka
3.rings za kwenye piston zimechoka
4.PVC imechoka
5.turbo imechoka kama gari ina turbo itakuwa inarudisha hapa.
Hapo 1,2 na 3 kama ni yes basi inabidi ufanye ovarhall engine.
Moshi ni bluu haujafikia kuwa wa black MkuuSidhani kama vitu hivyo vinaweza kusababisha moshi wa blue.
Nadhani vitu hivyo kama vinakufa huwa vinasababisha black smoke
Overhaul engine, yamaanisha nini Mkuu?Mkuu na wengine ni vyema mnapo uliza swali au kuomba msaada muwe mnaandika maelezo ya kutosha mfano aina ya gari,inatumia diesel au petrol au gas,au umeme
Mnapo weka habari nusu nusu mtapewa ushauri ambao sio sahihi..
Mfano hapa ungesema gari yako inatumia petrol au disel ingekuwa ni rahisi sana harafu ina engine gani au ni gari gani.
Maana kwa ugonjwa wa gari lako utapewa ushauri tofauti na ugonjwa wako.
SABABU ZA GARI KUTOA MOSHI WA BLUE
Hapo ina maana oil inaunguzwa au inaingia kwenye combustion chamber kuunguzwa pamoja na mafuta.
SABABU ZINAZO SABABISHA OIL KUINGIA KWENYE COMBUSTION CHAMBER.
1.inawezekana valve seal zimechoka
2.cyrinder head gasket imechoka
3.rings za kwenye piston zimechoka
4.PVC imechoka
5.turbo imechoka kama gari ina turbo itakuwa inarudisha hapa.
Hapo 1,2 na 3 kama ni yes basi inabidi ufanye ovarhall engine.
Kwa kuongezea:Mkuu na wengine ni vyema mnapo uliza swali au kuomba msaada muwe mnaandika maelezo ya kutosha mfano aina ya gari,inatumia diesel au petrol au gas,au umeme
Mnapo weka habari nusu nusu mtapewa ushauri ambao sio sahihi..
Mfano hapa ungesema gari yako inatumia petrol au disel ingekuwa ni rahisi sana harafu ina engine gani au ni gari gani.
Maana kwa ugonjwa wa gari lako utapewa ushauri tofauti na ugonjwa wako.
SABABU ZA GARI KUTOA MOSHI WA BLUE
Hapo ina maana oil inaunguzwa au inaingia kwenye combustion chamber kuunguzwa pamoja na mafuta.
SABABU ZINAZO SABABISHA OIL KUINGIA KWENYE COMBUSTION CHAMBER.
1.inawezekana valve seal zimechoka
2.cyrinder head gasket imechoka
3.rings za kwenye piston zimechoka
4.PVC imechoka
5.turbo imechoka kama gari ina turbo itakuwa inarudisha hapa.
Hapo 1,2 na 3 kama ni yes basi inabidi ufanye ovarhall engine.
Ni kufungua injini mkuu ucheki;Overhaul engine, yamaanisha nini Mkuu?