Tatizo la gari (Noah) silencer kuwa chini

Tatizo la gari (Noah) silencer kuwa chini

kimanganuni

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
324
Reaction score
170
Wajuzi, gari yangu kila nikirekebisha silencer inakuwa chini kiasi cha kuzima.

Hiki ni tatizo gani, suluhisho ni nini?
 
Wajuzi, gari yangu kila nikirekebisha silencer inakuwa chini kiasi cha kuzima.

Hiki ni tatizo gani, suluhisho ni nini?
Hilo tatizo linaweza kutokana na sababu nyingi.
Tunaweza kuzigawanya makundi mawili
1.Za kiumeme(Electrical and electronics faults)
Mfano.
Tatizo la throttle position sensor,air flow sensor etc
2.Za kimekaniko(Electromechanical faults)
Mfano
Kuziba kwa throttle kutokana na uchafu,ubovu wa throttle yenyew etc

So unaitaji mtaalamu aikague hiyo machine[emoji120]

Eng Shamsi HA
0789 426 655
 
Back
Top Bottom