Tatizo la gari za engine ya 1NZ kuji lesi ghafla ikiwa idle

Tatizo la gari za engine ya 1NZ kuji lesi ghafla ikiwa idle

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida nini wakuu?

Msaada tafadhali.
 
Kuna jamaa yangu ana ist,cc1490,1NZ engine,akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu,alafu baada ya dakika 4,inashuka kuwa normal,shida nini wakuu?
Msaada tafadhali...
Wataalam njoni basi na majibu ya hoja hii. Hata mimi nahitaji kujua sababu ni nini
 
Kuna jamaa yangu ana ist,cc1490,1NZ engine,akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu,alafu baada ya dakika 4,inashuka kuwa normal,shida nini wakuu?
Msaada tafadhali...
Anakuwa kawasha ac?
 
Nachojua Mimi hiyo waga ni feni, nmeexperience jambo hilo kwenye gari Fulani,ilikuwa na wiki mbili tu, feni yake ni automatic, inajiwasha Muda fulan na inajizima
 
Back
Top Bottom