profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wataalam njoni basi na majibu ya hoja hii. Hata mimi nahitaji kujua sababu ni niniKuna jamaa yangu ana ist,cc1490,1NZ engine,akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu,alafu baada ya dakika 4,inashuka kuwa normal,shida nini wakuu?
Msaada tafadhali...
Anakuwa kawasha ac?Kuna jamaa yangu ana ist,cc1490,1NZ engine,akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu,alafu baada ya dakika 4,inashuka kuwa normal,shida nini wakuu?
Msaada tafadhali...
hapanaAnakuwa kawasha ac?
mkuu hebu nipe madini kidogo juu ya throttle,,inakaa wapi kwenye engine,kazi yake nini,inasafishwaje?Cha kwanza kabisa throttle inakuwa chafu
unaweza safisha na mafuta ya taa?Cha kwanza kabisa throttle inakuwa chafu