Tatizo la gear box kuishia namba tatu

Tatizo la gear box kuishia namba tatu

AHMARDZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
790
Reaction score
677
WADAU,
Nina gari langu sasa ambalo linatembea lilikua lime park kwa muda mrefu saana lipo poa, ila lina shida inayonisumbua.

Taa ya check engine huwa inawaka hasa nikiendesha speed walau ya 60km/h ni kambiwa switch kwenye egine ni change na ni weke oxygen sensor fundi aliona kwenye diagnosis.
Nikiendesha pia zaidi ya speed ya 70 gear number 4 inagoma ku engage! naishia namba tatu tuh.

Hydraulic nime badilisha tuka kuta tope kwenye gear box sample na fundi aka safisha na tuka change chujio, nakurudishia ikawa imezidi ugongwa wa gear ila baadae ika tulia na kurudi vile vile kua inaishia namba tatu tuh.

Msaada jamani!

Gari ni corolla E110 muingereza, speed 220km/h.
BF679125_2dbc9e.jpg
BF679125_2dbc9e.jpg
WhatsApp Image 2018-05-14 at 15.49.47.jpeg
 
Back
Top Bottom