Tatizo la gear kwenye Harrier 3.0L

Habari, Ebwana ulifanikiwa kuitibu gari yako?
Mimi na corolla inatatizo kama hilo hivyo hivyo yani namba nne si pati kabisa hata nikanyage vipi ila moja,mbili na tatu zina ingia msaaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…