Tatizo la gear kwenye Harrier 3.0L

Tatizo la gear kwenye Harrier 3.0L

Vipi kaka
Hiyo diagnosis uliyofanyiwa bado haijaweza kuwasiliana na transmission! Knock sensor ipo kwenye engine (block to be specific) na kazi yake uhusiana na dynamic ignition timing.
Kuifanyia diagnosis kamili unahitaji Toyota Techstream na sio mashine za code reader. Techstream itakupa information na data yote ya mifumo YOTE ya gari. Hii ndio system wanatumia wakala na mafundi stadi wa Toyota.
Kulingana na maelezo yako, transmission oil unabadilosha ikiwa bado sawa; 15000km ni mapema sana kwa transmission oil. Engine oil inayofaa kutumia ni SYNTHETIC, GTX ni jina tu la mauzo na sio aina wala quality ya juu. Linganisha na Total Quartz 9000 ambayo ni synthetic base oil na utajionea tofauti kw bidhaa yenyewe na pia kw matumizi yake.
Back to your problem; hiyo transmission first yafaa kufanyiwa diagnosis na solution itapatikana hapo. Usijaribu kuwapa 'wasanii' wajaribu kuifungua! Ukitaka ushauri zaidi au huduma ya kiufundi wasiliana nami kw inbox!
 
Umetumia kigezo gani kujua mimi ni mvivu wa service? Oil ya gear box nabadirisha kila baada ya 15,000km, engine oil baada ya 4,000km. Na kila ninapohisi ina tatizo naenda garage! Tatizo nililojifunza ni kwamba haya magari hakuna mafundi wazuri, waliopo walio wengi wanabahatisha!

Jifunze kutokukurupuka!
Makosa
  1. Gear Box hubadilishwa kila baada yaa km 6000
  2. Engine oil kila baada ya km 3000.
Hao mafundi wako ni kimeo. Na je upo Dar? Kama upo Dar basi ujue unapofanyia service walishakuloga na kukufanya ukubali kila wanachokuambia.
 
Naomba nifafanue kidogo

Ni wapi kukasemwa gearbox oil ubadilishwa baada ya 6000km? Huo ni uongo na utapeli; kw kawaida ATF huenda ZAIDI YA 50000km!!

Pili; ni wazi kabisa huyu msanii hajui kuyasoma au kufaata maagizo ya oil anazotumia. Oil za MINERAL BASE ndizo hubadilishwa baada ya 3000km. Kando na hizi kuna MULTI-GRADE, SEMI-SYNTHETIC NA FULL SYNTHETIC ambazo zimeboreshwa ili kudumu kw mda mrefu zaidi; full- synthetic zingine zikiwa ina uwezo wa kudumu hadi km 10000 kama vile Mobil1.
 
Mimi gearbox ilishawahi kunisumbua sana,matokeo yake nikapewa fundi pale Shaurimoyo Ilala wakaishusha,hakuna kilichofanyika ikarudia hali ileile ya kuruka gear,solution ilikuwa ni kubadili gearbox ingawa ilinilia hela nyingi sana kabla sijaamua kununua nyingine,kwahiyo kwa uhakika ndugu ningekushauri ununue tu used gearbox kabla hujatufunwa hela zako,hapa bongo mafundi wa gearbox hasa za automatic hakuna kabisa.
 
Makosa
  1. Gear Box hubadilishwa kila baada yaa km 6000
  2. Engine oil kila baada ya km 3000.
Hao mafundi wako ni kimeo. Na je upo Dar? Kama upo Dar basi ujue unapofanyia service walishakuloga na kukufanya ukubali kila wanachokuambia.
Mh, mkuu naomba unyamaze mafundi wazuri watanishauri kwani hata wewe nakuona umeshalogwa na mafundi wa mitaani. Yaani ATF ubadili baada ya 6,000 km? Gari gani hiyo?
Nakuambia tatizo tulilonalo ni mafundi wazuri! Ndo maana hata wewe wameku- mislead!
 
Naomba nifafanue kidogo

Ni wapi kukasemwa gearbox oil ubadilishwa baada ya 6000km? Huo ni uongo na utapeli; kw kawaida ATF huenda ZAIDI YA 50000km!!

Pili; ni wazi kabisa huyu msanii hajui kuyasoma au kufaata maagizo ya oil anazotumia. Oil za MINERAL BASE ndizo hubadilishwa baada ya 3000km. Kando na hizi kuna MULTI-GRADE, SEMI-SYNTHETIC NA FULL SYNTHETIC ambazo zimeboreshwa ili kudumu kw mda mrefu zaidi; full- synthetic zingine zikiwa ina uwezo wa kudumu hadi km 10000 kama vile Mobil1.
Castrol vipi mkuu ipo kwenye hilo kundi za oil za kukaa muda mrefu na iko kwenye kundi gani ya hizo ulizotaja hapo juu?
 
Mh, mkuu naomba unyamaze mafundi wazuri watanishauri kwani hata wewe nakuona umeshalogwa na mafundi wa mitaani. Yaani ATF ubadili baada ya 6,000 km? Gari gani hiyo?
Nakuambia tatizo tulilonalo ni mafundi wazuri! Ndo maana hata wewe wameku- mislead!
Yaani watu wa Dar mna matatizo sana. Hivi nani kawaloga?
 
Wanabodi,

Nina gari langu sasa ambalo linatembea ila lina shida inayonisumbua leo miezi mitatu tangu lianze na kila ninapolitatua halitatuliki.

Taa ya check engine huwa inawaka hasa nikiendesha speed walau ya 80 kwa kama km 30.
Nikiendesha pia zaidi ya speed ya 70 gear number 4 inagoma ku engage!

Nimeshafanya diagnosis kila mara inasema tatizo ni knock sensor ya bank 2. Je, matatizo ya knock sensor na ku-engage gear number 4 yanauhusiano? Je matatizo haya yanatatulika?

Msaada jamani!

1999 Toyota Harrier Transmission doesnt engage beyond Gear 3

AKAN
  • 1999 TOYOTA HARRIER
  • 130,000 MILES
Car starts well, it engages up to gear 4 in its first acceleration. But when it decelerates after, it cannot transmit beyond gear 3 and; engine check light comes on plus ETC/TRC OFF. So, it drives high speeds in very high rpms as a result the mpg is very high. Otherwise there is no hesitation in transmission, its smooth. Gearbox oil has been changed and filter too.
SPONSORED LINKS
Do you
have the same problem?
Yes
No
Friday, August 23rd, 2013 AT 4:44 PM
8 Replies

TY ANDERSON
  • EXPERT
  • 705 POSTS
Have you had the check engine light checked? If so what are the code(s).

Here is a guide on how to get the codes

https://www.2carpros.com/articles/checking-a-service-engine-soon-or-check-engine-light-on-or-flashing

Most auto parts suppliers can scan the vehicle's computer for free. This could be an electrical issue but it's more likely an internal mechanical problem in the transmission. The diagnostic fault code retrieved will give direction on where to start on diagnosing.

SPONSORED LINKS
Was this
answer
helpful?
Yes
No

Friday, August 23rd, 2013 AT 10:21 PM

AKAN
  • MEMBER
Thx Ty. I will post the codes after I return for diag check. But I suspect as much that its the transmission problem and not electrical.
In Auto transmissions, are there 'clutches' for shifts from 1-2, 2-3, 3-4? If yes, are they fixable? If it is so then im sure the 3-4 is weak or dead. Interestingly, many harriers I have seen develope that problem - I dont know if its harrier transmission specific weakness.
I wonder also if there are compatible transmissions from other toyota brands for that v6 engine that I can use to replace the current one.
Pardon my many questions. Its that frustrating that I have thought through all those options.
 
Vipi kaka
Hiyo diagnosis uliyofanyiwa bado haijaweza kuwasiliana na transmission! Knock sensor ipo kwenye engine (block to be specific) na kazi yake uhusiana na dynamic ignition timing.
Kuifanyia diagnosis kamili unahitaji Toyota Techstream na sio mashine za code reader. Techstream itakupa information na data yote ya mifumo YOTE ya gari. Hii ndio system wanatumia wakala na mafundi stadi wa Toyota.
Kulingana na maelezo yako, transmission oil unabadilosha ikiwa bado sawa; 15000km ni mapema sana kwa transmission oil. Engine oil inayofaa kutumia ni SYNTHETIC, GTX ni jina tu la mauzo na sio aina wala quality ya juu. Linganisha na Total Quartz 9000 ambayo ni synthetic base oil na utajionea tofauti kw bidhaa yenyewe na pia kw matumizi yake.
Back to your problem; hiyo transmission first yafaa kufanyiwa diagnosis na solution itapatikana hapo. Usijaribu kuwapa 'wasanii' wajaribu kuifungua! Ukitaka ushauri zaidi au huduma ya kiufundi wasiliana nami kw inbox!
Thanks, naona una kitu flani cha kiufundi! Nitakutafuta!
 
Yaani watu wa Dar mna matatizo sana. Hivi nani kawaloga?
Pole, naona unadhani kila aliyepo mitandaoni ni mtu wa Dar! Endelea kukaa kihisia hisia. Pia usiharibu uzi wangu, nahitaji solution na wewe huna!
 
Lipeleke toyota mkuu wale ndo wenye magari hayo
Mkuu asante sana. Nilishawahi kupeleka Toyota mkoa flani nikawakuta na very poor customer care mpaka nikashangaa. Na mafundi wazuri hawana nikashangaa sana. Niliguatilia ili kujua nikagundua wateja wengi sana ambao ni mashirika ya kimataifa na NGO wameihama hiyo garage! Labda uniambie ni sehemu ipi kanda ya ziwa kuna maajenti wazuri wa Toyota ili nifuate huduma huko!
 
Nazungumzia dar mkuu huku dar Kuna gereji nzuri mbona ,wachina,wahindi,Toyota yenyewewe
 
Mkuu asante sana. Nilishawahi kupeleka Toyota mkoa flani nikawakuta na very poor customer care mpaka nikashangaa. Na mafundi wazuri hawana nikashangaa sana. Niliguatilia ili kujua nikagundua wateja wengi sana ambao ni mashirika ya kimataifa na NGO wameihama hiyo garage! Labda uniambie ni sehemu ipi kanda ya ziwa kuna maajenti wazuri wa Toyota ili nifuate huduma huko!
Nenda Fortes garage ndugu
 
Mkuu, ninachokiongea ni uzoefu wa gari ambalo nimekaa nalo nearly miaka miwili sasa! Ni gari ninalolijua! Gear namba 4 inapatikana kuanzia 70 kuendelea. Nishajaribu kwa sasa unaweza ukafika hata 140kph upo tatu. Ninachofanya sasa nina drive over drive button ikiwa off ili nicheze na gear 1-3 tu. Kwa hiyo tatizo lipo!
Kama gari lako ulinunua direct toka Japan kuna ile manual ya Kijapan imechorwa aina ya gari na maelezo ifungue wameandika gia zinaanzia ngai hadi spidi gani..nimewahi kuiona ya Toyota Surf ya 1993 kwaio kwenye harrier yako angalia utanielewa
 
Back
Top Bottom