mdalla 1
Senior Member
- Aug 11, 2014
- 120
- 20
Jamani naumwa malaria tangu jumamosi na nimeenda hospital na kutibiwa kwa sasa nina nafuu kubwa tu. Tatizo lililojitokeza ni hili Jana jioni wakati naoga nikashangaa kuona kovu kama la kuungua kwenye kichwa cha uume wangu! Sijajua chanzo choke ni mini. Ushauri wenu tafadhali.