Tatizo la Ghafla kwenye Uume: Naomba Msaada

Tatizo la Ghafla kwenye Uume: Naomba Msaada

mdalla 1

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
120
Reaction score
20
Jamani naumwa malaria tangu jumamosi na nimeenda hospital na kutibiwa kwa sasa nina nafuu kubwa tu. Tatizo lililojitokeza ni hili Jana jioni wakati naoga nikashangaa kuona kovu kama la kuungua kwenye kichwa cha uume wangu! Sijajua chanzo choke ni mini. Ushauri wenu tafadhali.
 
Nenda hospitali ukapate ushauri wa daktari mkuu, ukiwa muoga na maradhi na kuyaweka wazi inasaidia sana mkuu!
 
Nenda hospitali ukapate ushauri wa daktari mkuu, ukiwa muoga na maradhi na kuyaweka wazi inasaidia sana mkuu!

Akichelewa kupata matibabu itaishia kukatika kama hiii
 
Attachments

  • 1416334370500.jpg
    1416334370500.jpg
    152.7 KB · Views: 731
kuna aina ya dawa ambazo ukitumia ni lazima ikutokee hiyo.ila baada ya siku chache inakaukaa
 
kuna aina ya dawa ambazo ukitumia ni lazima ikutokee hiyo.ila baada ya siku chache inakaukaa

Kweli mkuu hilo tatizo ni lamuda ni sawa na mtu unapomeza dawa fulani ukatokewa na vidonda mdomoni so sidhani kama kuna madhara yoyote.
 
Ulipewa dawa zenye sulfur,siku nyingine ukiumwa marelia tafuta dawa ambazo hazina sulfur...
 
Yaani jibu mbona rahisi? ukiwa na tatizo la kiafya NENDA HOSPITALI. Hapa utaambiwa ni kawaida, kunywa maji ya moto, kula matunda, sijui nini na nini lkn jibu la ukweli lipo hospitali.
 
Yaani jibu mbona rahisi? ukiwa na tatizo la kiafya NENDA HOSPITALI. Hapa utaambiwa ni kawaida, kunywa maji ya moto, kula matunda, sijui nini na nini lkn jibu la ukweli lipo hospitali.
ni kweli mkuu
 
Back
Top Bottom