Jamani naumwa malaria tangu jumamosi na nimeenda hospital na kutibiwa kwa sasa nina nafuu kubwa tu. Tatizo lililojitokeza ni hili Jana jioni wakati naoga nikashangaa kuona kovu kama la kuungua kwenye kichwa cha uume wangu! Sijajua chanzo choke ni mini. Ushauri wenu tafadhali.
Yaani jibu mbona rahisi? ukiwa na tatizo la kiafya NENDA HOSPITALI. Hapa utaambiwa ni kawaida, kunywa maji ya moto, kula matunda, sijui nini na nini lkn jibu la ukweli lipo hospitali.
Yaani jibu mbona rahisi? ukiwa na tatizo la kiafya NENDA HOSPITALI. Hapa utaambiwa ni kawaida, kunywa maji ya moto, kula matunda, sijui nini na nini lkn jibu la ukweli lipo hospitali.