Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Mkuu, naomba unipe maelekezo zaidi katika huo mrehani. Umesema tafuna majani mawili mpaka manne kila asubuhi kabla Ya kula chochote, kisha ukasema kamua majani ili upate kijiko kimoja cha chai. Swali, kuna haja ya kukamua hayo majani ili upate juice ikiwa utakula majani manne kabla ya hapo?
Mkuu, kama utakuwa unayatafuna basi hakuna sababu tena ya kunywa Na juisi yake