Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Mkuu, naomba unipe maelekezo zaidi katika huo mrehani. Umesema tafuna majani mawili mpaka manne kila asubuhi kabla Ya kula chochote, kisha ukasema kamua majani ili upate kijiko kimoja cha chai. Swali, kuna haja ya kukamua hayo majani ili upate juice ikiwa utakula majani manne kabla ya hapo?
Asante mkuu kwa thread nzuri,sisi tunaonunua mdalasini kwenye masoko yetu ya uswahilini tutajuaje hatununui ule wenye sumu?maana tunakuta uko packed kabisa na wakati mwingine umesagwa tayari
Shukrani mkuu Fadhili Paulo.
Dhafir kuna mahali unakosea..usiseme hakuna sema hujui..
Dawa kisukari ambayo viwanda vya kutengeneza madawa havitaki watu waijue kw sababu itaua viwanda vyao ni..
Kuoga na maji baridi asubuhi..mara kwa mara.
Hii inasababu yake ya kitaaalam..ina uhusiano na brown fats na kicjocheo cha kuongeaza joto la.mwili ambapo kuna kemikali inatolewa na kongosho ambayo inarudisha uwezo wa kongosho kurekenisha kiasi cha sukari mwilini.
Kama mtu ni mgonjwa wa kisukari ajaribu hii mbinu alafu apime mwenendo wa sukari yake..utaona mafanikio atayoyapata
Vyote..maana mwili ni self healing tatizo tunaondoa balance iliyopo..ndio maana tunaumwa..solution ni kufuata masharti yote na kuanza hiyo therapy ya kuoga maji baridi daily alafu ufuatilie mabadiliko
Dawa ya kutibu Maradhi ya kisukari kwa Tiba Mbadala mimi ninayo ukihitaji wasiliana na mimi lakini kwa gharama ndio nitakupa unaweza kunitafuta mimi kwa kubonyeza hapa.MawasilianoKisukar ndugu yng haitibiki, sema Kuna dawa za kuunguza makali yk, kwasabb kongosho likishakufa haliji jingine ndugu
Dhafir kuna mahali unakosea..usiseme hakuna sema hujui..
Dawa kisukari ambayo viwanda vya kutengeneza madawa havitaki watu waijue kw sababu itaua viwanda vyao ni..
Kuoga na maji baridi asubuhi..mara kwa mara.
Hii inasababu yake ya kitaaalam..ina uhusiano na brown fats na kicjocheo cha kuongeaza joto la.mwili ambapo kuna kemikali inatolewa na kongosho ambayo inarudisha uwezo wa kongosho kurekenisha kiasi cha sukari mwilini.
Kama mtu ni mgonjwa wa kisukari ajaribu hii mbinu alafu apime mwenendo wa sukari yake..utaona mafanikio atayoyapata
Zimeshawahi kuletwa tuhuma dhidi yako kuwa wewe ni tapeli, hudhani huu ni wakati wa wewe kutoa dawa kwa mteja wako kutoa pesa nusu na nusu nyingine atoe pale atakapo pona?Dawa ya kutibu Maradhi ya kisukari kwa Tiba Mbadala mimi ninayo ukihitaji wasiliana na mimi lakini kwa gharama ndio nitakupa unaweza kunitafuta mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Ukiwa mtu mzuri na unapenda kuwasaidia watu basi utakuwa na maaduwi wengi. Ukiweza kuniamini niamaini usipoweza kutoniamini unaweza kutafuta mtu mwengine atakayeweza kukusaidia. Mkuu SUPU YA MAWE Nimewasaidia Wengi tu humu ndani na sihitaji malipo, malipo yangu atanilipa Mwenyeezi Mungu sitegemei binadamu kunilipa binadamu utamfanyia wema atakulipa ubaya ndivyo alivyo binadamu tabia yake.Zimeshawahi kuletwa tuhuma dhidi yako kuwa wewe ni tapeli, hudhani huu ni wakati wa wewe kutoa dawa kwa mteja wako kutoa pesa nusu na nusu nyingine atoe pale atakapo pona?
Ukitaka Dawa yangu nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoMziziMkavu Dawa yako inaitwaje na gharama yake ni sh ngapi?
Unapofanya usiri katika kutoa dawa zako, siku akitokea mtu akisema wewe ni tapeli wengi wataungana nae. Hutaki kutaja jina la dawa, hutaki kutaja gharama tukueleweje?Ukitaka Dawa yangu nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Ndugu kabugira, ogopa matapeli. Hakuna dawa ya kuponyesha kisukari kokote duniani. Zilizopo ambazo zimefanyiwa tafiti ni hizo za hospitalini katika mfumo wa vidonge na majimaji lakini nazo hazileti cure...Ukiacha dawa za hospitali, tafadhali kama kuna aneyejua au anayeweza kutibu kisukari, naombeni msaada.