Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Type2 d.m...lifestyle disease...unywaji wa pombe sana huleta hii ugonjwa...anafaa kuenda diabetic clinic apate mafunzo kuhusu maintanance...

Kama mtu ana kisukari kwa ajili ya kuzidisha pombe akaacha atapona kisukari ??
 
Jamaa yangu ametumia pombe haina ya bia kwa muda mrefu sasa.kwa sasa anasema ana dalili za ugonjwa wa kisukari je .docta na wadau wengine bia inaweza sababisha ugonjwa wa kisukari?.karibu tafadhali.

Tiba za magharibi/mainstream medicine kama vile vidonge na sindano za insulin hazina uwezo wa kutibu kisukari,zinachofanya ni kuondoa dalili tu,kiwango kikubwa cha sukari mwilini si ugonjwa bali ni dalili ya ugonjwa,mainstream wanachukulia kiwango hiki kikubwa cha sukari kama ni ugonjwa na ndio maana dawa zao hazitibu kamwe kisukari na ndio maana wanasema kisukari hakina tiba.Lakini hii haimaanishi kwamba waliotengeneza dawa hizi hawajui kiini cha tatizo,la hasha,wanajua kabisa tatizo la msingi na pia wanajua jinsi ya kulitatua,lakini kwa kutoa tiba zisizo na mwisho kwa mgonjwa wa kisukari huwa wanajiingizia pesa nyingi sana kwa kuuza dawa hizi.Lakini heri kwetu tunaojua ukweli huu kwa maana hatuwezi kuangukia kwenye mtego huu.

Dawa hizi za mainstream pia zinaongeza tatizo baada ya kuzitumia kwa muda mrefu,na mojawapo ya matatizo ambayo hujitokeza baada ya matumizi ya muda mrefu ni ini n figo kushindwa kufanya kazi.

Kisukari kinatibika tu endapo utafanya TOTAL BODY CLEANSE AND REJUVENATION ili kuondoa takataka zilizozagaa mwilini na kufanya ini na pancreas/kongosho vishindwe kufanya kazi,na si vinginevyo.Hapa ndio utakuwa umetibu ugonjwa na utapona kabisa,vinginevyo utakuwa umeanguakia kwa wafanya biashara za madawa.Kisukari ni life style disease tu na si vinginevyo.
 
mkuu umesoma vizuri hapo juu Autoimmune utawezaje ifanyia TOTAL BODY CLEANSE AND REJUVENATION... !!???? kwa aina zingine za kisukari unaweza fanya menegement kwaku maintance vyakula it depend ni hypoglaceamia or hyperglaceamia....!!!??
 
Hiyo Tatal body Cleanse and Rejuvenation inafanyika wap na gharama yake kiasi gan
 
Hiyo Tatal body Cleanse and Rejuvenation inafanyika wap na gharama yake kiasi gan

Ni vigumu kutaja gharama,kwa kuwa unaweza kufanya kwa njia ya vyakula maalum au supplements.Kama mtu ni mgonjwa sana basi supplements ni njia nzuri zaidi kuharakisha kupona,pia inategemea na ukubwa wa tatizo,magonjwa kama haya ya kisukari huchukuwa muda kupona,yaweza kuwa miezi 2 au 3 au zaidi kidogo ili ku reverse kisukari,lakini unapona kabisa kama mtu atakuwa na nidhamu kwenye hiyo therapy.

Nikipata muda nitashauri hii therapy inafanywa vipi na kwa kutumia vyakula gani na kwanini, bure tu.Siko hapa kufanya biashara,ni upendo tu na kujali wengine ambao bado wako gizani kuhusu magonjwa haya sugu.
 
mkuu umesoma vizuri hapo juu Autoimmune utawezaje ifanyia TOTAL BODY CLEANSE AND REJUVENATION... !!???? kwa aina zingine za kisukari unaweza fanya menegement kwaku maintance vyakula it depend ni hypoglaceamia or hyperglaceamia....!!!??

Mkuu,possibly tunaweza tukawa kwenye falme mbili tofauti za uelewa wa mambo haya,sina maana kwamba unachokijua wewe si sahihi,la hasha,bali jinsi ya approach inaweza kuwa tofauti kabisa.Ninachoeleza mimi kina deal na chanzo cha tatizo na si tatizo lenyewe.Labda ili nikujibu vizuri unaweza kunielezea autoimmune kwa jinsi unavyoijua wewe hapo ndipo tunaweza kwenda sawa.
Karibu.
 
naweza sema umeniwah kuulza swali..ila isiwe sababu kwakuwa ww upo opposite side about autoimmune ningeomba ww ndo uanze nipa elmu kdogo juu ya hlo...pamoja na manegement ya autoimmune...!!!
 
Habari wakuu.!
Mwenye kujua sababu zinazopelekea mtu kuugua ugonjwa wa kisukari na dalili zake,anifahamishe wakuu.
 
Being overweight, manage your weight by exercising an eating well. Avoid starch and high content sugar foods and be active during the day, and night if possible
 
Hello wakuu wa Nchi.

Naomba kuuliza hivi kuna mtu alishawahi kutumia Dawa za mbadala na kupona kisukari type 2? Maana nilimuuliza Dr akasema hamna Dawa za hospitalini zinazotibu high blood sugar ila zipo za kusaidia kupunguza blood sugar kwenye mwili nazo ni metroformin kidonge ni shs 100 tuu kwenye pharmacy, na kama miguu inawaka moto au kufa ganzi kuna Dawa wanauza kwenye phamacy zinaitwa NEUROBION FORTE zinasaidia sana sana.

Maana zinahitajika mwilini kwa sababu kuna vyakula vingi vyenye vitamins vinakosekana mwilini ndio maana miguu inawaka moto na kuchoma choma pia kuna vidonge ambavyo nimevisahau unatumia kidonge kimoja kila siku kwa ajili ya kulinda Figo isiumizwe na kisukari, kama kuna Dr anafahamu hiyo
Dawa please aweke hapa JF doctor, itasaidia wengi sana.

Finally naomba kama kuna mtu anafahamu hiyo Dawa ya mbadala please in box me please.

I really appreciate it,kisukari hakipatani na beer., wali, chapati, ugali wa sembe ,supergheti ,white bread, chumvi nyingi.

KITU AMBACHO SIJAJUA NI KWANINI WANASEMA RED MEAT IS NOT GOOD AND OUR BODIES NEED A PROTEN,I HOPE TO HEAR FROM YOU

GUYS SOON🙂 THANKS A LOT.
 
pole sana unatakiwa ukitumia hizo dawa upige na mazoezi mdogo mdogo sukari ni mbaya sana hasa kwa wanaume
 
Hakuna dawa ila kuna njia za kuituliza ambayo watu wengi inawawiaga vigumu sababu inabidi ubadili lifestyle yako. Kwanza ni vyakula unavyokula, vinywaji nk nk. Ukifanya utafiti online kuna articles nyingi sana za jinsi ya kuishi na kisukari tena bila ya kutumia dawa kutegemeana na sukari yako Ni mbaya kiasi gani
 
That's a cool, unaposema mbaya ina maana Gani ,kama ukipima kabla hujala kitu inakuwa 10 na kama tayari msosi inakuwa 14 hiyo ni mbaya Au vipi
 
Pole mkuu, ila hakuna haja ya kuku inbox kwan elimu hii ni kwa faida ya yote.
 
Glucoblock Capsule Regulate Sugar level

a.- -It improves circulation of the collateral branch and reallocation of the blood stream, regulate microcirculation and metabolism of the pancreas, so as to normalize the physiological function of the diseases insulin tissue.
b. - -It reduces the blood sugar, eliminates symptom of diabetes, restores function of the insulin, improves normal secretion of the insulin cell, activates histiocyte, and resumes receptors to insulin cytosine. Meanwhile, it is particularly effective on diabetes complications.
c. - -It regulates incretion, metabolism of carbohydrate an central

BALSAM PEAR TEA
a. Repairs£cells of pancreas which is responsible for producing insulin;
b. Polypeptide P - a plant insulin, reduces blood sugar and blood lipid level safely;
c. Prohibits the absorption of glucose in small intestine and reduces glucose in the blood stream;
d. Alleviates complications of diabetes such as thirst and dry mouth.

CHITOSAN CAPSULE;
a. Reduces blood lipid; helps weight loss;
b. Reduces blood sugar;
c. Strengthens the function of liver; prevents liver against damage of toxins;
d. Promotes healing of gastric ulcer.

MEAL CELLULOSE
a. Normalizes bowel movement and maintain bowel integrity and health;
b. Lowers blood cholesterol levels;
c. Helps control blood sugar levels;
d. Acids in weight loss.

BALSAM PEAR TEA.
a. Hucangia utumizi Wa sukari kwenye chembe chembe hai.
b. Huzuia uharibifu Wa mwili unaotokana na kisukari.
c. Huchangia kusawazisha mwilini.
d. Huzuia makari yanayo sababis hwa na kisukari.
e. Huindoa sumu mwilini.

CHITOSAN CAPSULES
a. Huondoa sumu mwilini na kupunguza mafuta mabaya.
b. Hupunguza sukari kwenye damu
c. Hupatia INI nguvu kwa kutoa mafuta mabaya na kuboresha inavyofanya kazi yake.
d. Hunyonya uchafu Wa chuma ( madini) mwilini.

- MEAL CELLULOSE
a. Hupunguza sukari kwenye dam
b. Huzuia mwili kuhifadhi kalori za ziada basi kwa kupunguza unene.
c. Nzuri kwa walio na ugonjwa Wa mishipa ya ubongo na moyo.
 
Jayman okay, bt hayo majina ya mimea yangekuwa kwa kiswahili ni poa zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…