Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No eat more.You're right I have one, but does sugarcanejuice cause diabetes?
Usimlaumu ni mtazamo wake huoJamaa kaandika ujinga sijapata kuona, mods muwe mnaondoa uchafu kama huu watu wanaingilia proffesion wasizozijua kabisa.Hii ni article ya mtoto wa form one
Mkuu mafuta ya mimea tunaambiwa hayana madhara?Inafaa tukumbuke tena kwamba ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa wa shahamu (cholesterol) vile vile.
Mtu anaweza kuendelea kula chakula chake cha kawaida ili mradi anakumbuka kwamba ni suala muhimu sana kupunguza utumiaji wa mafuta, siagi, samli na margarin.
Mtindo wa kumimina mafuta moja kwa moja katika sufuria au kikaangio si mtindo wa busara hata kidogo. Ni jambo la maana na busara kutumia kijiko cha kulia katika kupima kiasi gani cha mafuta mtu anatia katika mapishi:
Hakikisha kwamba unatia kijiko kimoja cha kulia kwa kila mtu mmoja katika ukoo.
Chakula cha kuchemsha ni cha siha zaidi kuliko cha mikaango kwa sababu ya upungufu wa mafuta.
Afadhali kula chapati/mkate wa kusukuma wa ngano nzima upikwao mkavu bilaya mafuta kushinda ule unaokaangwa kwa mafuta.
Epuka pilau na wali wa nazi na afadhali ule wali wa maji.
Hakikisha kwamba unaitoa, kuikeketa na kutupa shahamu yote ya nyama kabla hujaitia chunguni.
Mkuu hiyo glucose unaitumiaje?Nimekuwa na diabetes kwa miaka 12 uzito nilikuwa 92kg,miaka ya karibuni nimeanza kufanya mazoezi mara 3 kwa wiki,kukimbia,kupunguza kula,kulala mapema na kunywa maji mengi.
Kwanza nilikuwa nameza vidonge 8 kwa siku,baada ya kuanza mazoezi nikapunguziwa mpaka 2 kwa siku.Sasa nina uzito 78kg na niko fit sichoki nikikimbia au mozoezini.Kwa muda wa mwezi sijahitaji kumeza dawa mwili umeweza kumudu.
Daktari kanishauri niendelee kupima glucose asubuhi na usiku mwenyewe na kit yangu kwa muda wa mwezi mwingine na kama nitaendelea hivi nitakuwa nimepona.Nilikuwa na type 2 nawashauri wenzangu wenye diabetes wajaribu haya labda nao watafaidika.
ShukraniSame here. Nilikuwa kama wewe, uzito huhuo, nimefanya mazoezi, dieting, kuepuka kula mafuta na vyakula vya starch, kula mboga za majani, matunda etc, acha pombe hasa beer, utajikuta uko fit kwa kila hali.
Neno Shahamu ufafanuzi mkuuInafaa tukumbuke tena kwamba ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa wa shahamu (cholesterol) vile vile.
Mtu anaweza kuendelea kula chakula chake cha kawaida ili mradi anakumbuka kwamba ni suala muhimu sana kupunguza utumiaji wa mafuta, siagi, samli na margarin.
Mtindo wa kumimina mafuta moja kwa moja katika sufuria au kikaangio si mtindo wa busara hata kidogo. Ni jambo la maana na busara kutumia kijiko cha kulia katika kupima kiasi gani cha mafuta mtu anatia katika mapishi:
Hakikisha kwamba unatia kijiko kimoja cha kulia kwa kila mtu mmoja katika ukoo.
Chakula cha kuchemsha ni cha siha zaidi kuliko cha mikaango kwa sababu ya upungufu wa mafuta.
Afadhali kula chapati/mkate wa kusukuma wa ngano nzima upikwao mkavu bilaya mafuta kushinda ule unaokaangwa kwa mafuta.
Epuka pilau na wali wa nazi na afadhali ule wali wa maji.
Hakikisha kwamba unaitoa, kuikeketa na kutupa shahamu yote ya nyama kabla hujaitia chunguni.
Mara nyingine mm huwa sikii njaa kabisa naweza nikanywa chai asubuhi basi sisikii njaa mpaka jioni katika hali hii natakiwa nifanye nini![]()
Watu walio na ugonjwa wa Sukari (kama watu wale wengine) lazima watilie mkazo afya yao ya kila siku.Tofauti imo: walio na ugonjwa wa Sukari, kila siku lazima wapime sukari, wafanye mazoezi na wazingatie afya yao. Ikiwa wewe au mtu unayemjua ana ugonjwa wa Sukari na ameamua kuishi maisha yenye afya, basi Sehemu ya Kujifundisha itakuongezea maarifa kuhusu huu ugonjwa na kukuelekeza kuishi ukiwa na afya.
Hatua ya 1: Jifunze kuhusu ugonjwa wa Sukari
Ni vizuri kujua mambo mengi kuhusu ugonjwa wa Sukari ili uweze kuukimu. Hapa ni yale unayotakikana kujua na kufanya.
Jua ni aina gani ya ugonjwa wa sukari unayo na hatari zake
Usiogope kuuliza maswali na kujua pale utakapopata majibu.
- Ugonjwa wa Sukari ni nini?
- Aina ya 1, aina ya 2 na Ugonjwa wa Sukari na ujauzito
- Mimba na Ugonjwa wa Sukari
- Ugonjwa wa Sukari:
Elewa kuhusu kiwango cha sukari damuni mwako na ni tiba ipi utakayo tumia.
Fungua uchapishe mpango wa afya nzuri waliye na Ugonjwa wa Sukari.
- Fanya mtihani mdogo kuhusu Insulini.
- Insulini 101
- Video: Insulini
- Ugonjwa wa sukari: Kile unachohitaji.
- Fungua uchapishe hati, inayokufundisha kufuatilia kiwango cha sukari damini yako.
Nenda hospitali kamuone Daktari akupime huenda unayo maradhi tumboni yaliyojificha.Mara nyingine mm huwa sikii njaa kabisa naweza nikanywa chai asubuhi basi sisikii njaa mpaka jioni katika hali hii natakiwa nifanye nini
Nina sukari sasa nilitaka kujua jee sukari husababisha hali hiiNenda hospitali kamuone Daktari akupime huenda unayo maradhi tumboni yaliyojificha.
Ugonjwa wa kisukari unakufanya wewe uwe unasikia kiu kisicho kwisha na sio kutosikia njaa. Ninakushauri nenda kamuone Daktari akupiime kisha uje hapa utupe majibu yako. na Mimi ninatibu huo Ugonjwa wa kisukari kkwa muda wa siku 60 utakuw aumekwisha kupona ukihitaji matibabı toka kwangu unaweza kunitafuta kwaNina sukari sasa nilitaka kujua jee sukari husababisha hali hii
Pamoja mkuu usijaliAhsante mkuu
HAMNAGA DAWA YA KISUKARI ,DAWA NI KUANGALIA CHAKULA UNACHOKULA NA MAZOEZI TUU ACHA UTAPELI PLEASE☪SIRAAJUL MUNIYR HERBAL MEDICINE NA SANGIDA HERBAL MEDICINE ☪
[emoji267]WAMEKULETEA DAWA YA KISUKARI INAYOITWA AL MUNIYR [emoji267]
☘[emoji263]Dawa hii inatibu kabisa *KISUKARI* hata kama ni cha KURITHI au kinamuda Mrefu [emoji263]☘
[emoji262]Dawa hii Inatibu *KISUKARI CHA KUPANDA NA KISUKARI CHA KUSHUKA* [emoji262]
[emoji264]Inaanza kufanya kazi siku ya kwanza tu ya kuitumia ukiinywa siku 3 kisha ukaenda kupima utaona Ajabu kabisa namna ilivyofanya kazi [emoji264]
[emoji269]MATUMIZI [emoji269]
[emoji478]Chukua kijiko cha chai cha dawa hii kisijae sana koroga kwenye maji moto kikombe kimoja {ml 250} kisha kunywa Mara 3 kwa siku tumia siku 21 [emoji477]
[emoji290] Ili kuipata dawa wasiliana na Dr Sulayman +255 655 821 550 [emoji256]☘☘Kwanini uteseke na Maradhi wakati Dawa zipo ?,[emoji256]☘☘
Tu naomba ufafanuzi dawa hiyo inapunguza sukari ilioko kwenye damu!au inatibu kongosho liweze Kutengeneza insulin?☪SIRAAJUL MUNIYR HERBAL MEDICINE NA SANGIDA HERBAL MEDICINE ☪
[emoji267]WAMEKULETEA DAWA YA KISUKARI INAYOITWA AL MUNIYR [emoji267]
☘[emoji263]Dawa hii inatibu kabisa *KISUKARI* hata kama ni cha KURITHI au kinamuda Mrefu [emoji263]☘
[emoji262]Dawa hii Inatibu *KISUKARI CHA KUPANDA NA KISUKARI CHA KUSHUKA* [emoji262]
[emoji264]Inaanza kufanya kazi siku ya kwanza tu ya kuitumia ukiinywa siku 3 kisha ukaenda kupima utaona Ajabu kabisa namna ilivyofanya kazi [emoji264]
[emoji269]MATUMIZI [emoji269]
[emoji478]Chukua kijiko cha chai cha dawa hii kisijae sana koroga kwenye maji moto kikombe kimoja {ml 250} kisha kunywa Mara 3 kwa siku tumia siku 21 [emoji477]
[emoji290] Ili kuipata dawa wasiliana na Dr Sulayman +255 655 821 550 [emoji256]☘☘Kwanini uteseke na Maradhi wakati Dawa zipo ?,[emoji256]☘☘
Kumekuwepo kilio cha wadau wengi wakitaka kujua masuala kadhaa juu ya ugonjwa huu; tumetengeneza mnakasha huu ili kurahisisha majibu (si yote) kwa wenye uhitaji wa maswali yao.
Zingatia: Ni vema kwenda hospitali kwa tiba ya uhakika, hapa utapata majibu yanayokupa mwanga wa nini cha kufanya.
Case studies, mapendekezo ya tiba, waliopata kutibiwa, madaktari wanaopendekezwa na wadau kwa tiba n.k ndivyo vitawekwa kwny bandiko la kwanza
===============================================
Dalili/Chanzo/Aina/Athari za Ugonjwa wa Kisukari
===============================================
============================================
Mlo kwa mtu mwenye Kisukari na taratibu zake
============================================
========================================================
Mwongozo wa kuweza kuishi vizuri na Ugonjwa wa Kisuakari
========================================================
=============================================
Athari za kutodhibiti ugonjwa wa Sukari ipasavyo
=============================================