Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Kuna kitu yaitwa
STEM CELL THERAPY
kwa bidhaa kama
. DOUBLE STEM CELL OR CRYSTAL CELL
+SNOWPHYLL

unapona kabisaaaaa Google alafu tupigie +255767831345
 
Mkuu Innovator97 ,,umepotelea wapii??

Mbona hamna muendelezo??
 
HAMNA DAWA YA HII KITU MKUU ,
 
HAMNA DAWA YA HII KITU MKUU ,
Tiba ya ugonjwa wa kisukari ninayo ukihitaji matibabu toka kwangu nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 

Dr sebi anasema anatibu magonjwa yote duniani kama kupunguza unene, matatizo ya ngozi, AIDS, Diabetes (kisukari), nguvu za kiume, tatizo anasema ni mucus, ukitumia alkaline diet,electric diet, plant based diet, natural, organic food unaweza kutatua matatizo mengi.

Anaseme chakula sahihi yanatibu magonjwa mengi.

Hivi MziziMkavu hupo karibu na Dr Sebi? Unafuata principles zake. Naona umeweka picha yake kwenye profile yako.

 
Ndio kaka Dr.Sebi ni Mwalim wangu wa Dawa za Asili.
 
Ndio kaka Dr.Sebi ni Mwalim wangu wa Dawa za Asili.

Sawa Kaka, nimekuelewa vizuri. Una maoni gani kwa waliokuwa wanamkubali na wanakubali tiba zake, ili walikuwa wanapinga gharama zake kwamba ni kubwa sana?
 
HAMNA DAWA YA HII KITU MKUU ,
mkuu kisukari hakina dawa ka ilivyo kwa baadhi ya magonjwa mengine sumbufu ila nikuhakikishie tuu kuwa kulingana na tafiti isiyo rasmi na kufukua fukua kwangu nimejifunza magonjwa mengi huletwa na vyakala vyetu so tukiweza kupaambana na majiko yetu yakapika vilivyo salama tutakuwa salama kwa muda mrefu zaidi.
Pia kulingana na kuchimba kwangu na shuhuda mabalimbali na matokeo niliojionea ni kuwa mgonjwa wa sukari anaweza ishi pasipo kutumia dawa endapo akajua kula vizuri yani akiacha wanga na sukari, akala vyakula vya protein, mafuta salama,vitamin, na maji safi na salama ataishi vizuri na pasipo kupandwa ama kushuka kwa sukari, na wengi wanarudiwa na afya zao za kawaida pia ngozi inarudi hali yake ya kawaida
 
Na nazi nayo ina matatizo sasa tutumie nini?
 
Huu ugonjwa ni hatari Sana nilimuuguza baba yangu mzaz hapana yaani kila Leo ni nafuu ya jana Hadi kufariki yaani Mungu atuepushe ni janga
 
Hello Wana JF, naombeni msaada

Nina jirani yangu anasumbuliwa na kisukari kwa muda sasa ila anadai miaka sita iliyopita sukari ilikuwa juu sana wakampeleka Mount Meru hospital akatundikiwa drip kwa ajili ya kuishusha.

Anasema kwamba katika Ile drip daktari alichukua kichupa cha dawa akachanganyia kwenye ile drip na sukari yake iilikaa normal kwa miaka 3 ikiwa 5 to 7.

Sasa kimeanza kumsumbua tena na kwa bahati mbaya yule daktari aliyemtibu ameshatangulia mbele ya haki na dawa yenyewe iliyokuwa kwenye kile kichupa haijui.

Waheshimiwa watukufu Madoctor ambao wanahusika na wagonjwa wa kisukari nawaombeni msaada wenu. Najua ni vigumu sana kuongelea dawa iliyoko kwenye kichupa iliwekwa kwenye DRIP mtu kukuelewa.

Kwa uwezo waliopewa na Mwenyezi Mungu nawaombea madaktari wetu washukiwe na Roho Mtakatifu waweze kujua jina la hicho kichupa cha dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Asante sana,hata mie ninakisukari lakini situmii dawa mara nyingi nakula brown bread na jioni sile chochote,nataka kuanza mazoezi hivi karibuni kwani nilikuwa nimeacha sababu ya kazi,nakunywa maji sana,asante kwa ushauri
..kunywa maji sana ni dalili ya tatizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…