Nimeshafuta kabisa sukari kwenye menu zangu,mwezi ujao napima tena nitaona matokeo.Staff mwenzu alipima akakuta sukari iko juu mno na alikuwa ameanza kupoteza uwezo wa kuona vzr lkn ni km miezi mitatu tu yuko poa kabisa, ukipewa dawa hakikisha unafuatisha dozi ulivyoelekezwa, muhimu vyakula vyenye sukari epuka sn,
Asante mkuu,Mimi under fasting nipo 6,93Tafuta Blood Sugar monitor utembee nayo kwenye hand bag, siku hizi zipo ndogo zinakuja kwenye kit yake kama makeup bag. Ukiona sukari imezidi 7.9 baada ya kula inabidi unywe upate insulin, norma fasting is 4.0 - 5.4.
Uncontrolled Blood sugar is a recipe for over weight and heart attack.
Muache huyo hana majibu.Msamehe mkuu
It's quiet high.Asante mkuu,Mimi under fasting nipo 6,93
Asante sana,hivyo vyote nishaacha tokea kugundulika kwa sukari kubwa.Kikubwa hapo ni kufuata ushauri Wa tabibu, mazoezi yanaluhusu na punguza sn vyakula vyenye sukari, bia soda acha nakuhakikishia ndani ya miezi 2 mpk 3 utashangaa kabisa!
Najua unapenda ubishi, hivi hujui protein ndo kitu chakula kikubwa kinachozalisha sumu kwa wingi mwilini! Unajua amino inavyopatikana mwilini na hujiulizi kwanini mwilini hakuna storage ya protini..hivi unajua kuwa kazi ya protini kwa mtu mzima kama wewe ni kwa kucha zako, nywele ni vi hormone vyako. Nakuonea huruma kwa sababu hujui pia kuwa unalichosha sana ini lako na hata mfumo wake mzima pamoja na kongosho hadi kushindwa kuzalisha insulini ya kutosha sababu ya hizo protini kwa wingi. Nawatamani sana kuwakaza wanawake wabishi kama wewe.Acha nicheke hivi protein zinarelate vipi na kisukari? Tuanzie hapo. Naona majibu yako siyo ya kitaalam kabisa. Ungeniambia Starch ningekuelewa.
Yashinde matamanio dumisha afya.Asante sana,nimeacha sukari ingawa some times natamani ila nikikumbuka complications za sukari nyingi mwilini napata moyo,sitaki kufa kwa complications za kisukari.
Yeye ni mbishi, swali nimemuuliza wewe ni ke au me, anaanza kuuliza tena ati kuna uhusiano gani na kumuuliza jinsia na kisukari, hajui kuwa mimi napenda ubishi.Mkuu mbona haujajibiwa kwa ujeuri,amekujibu yeye ni "ke" na pia akataka kujua kama Jinsia ina uhusiano wowote na maradhi ya kisukari,inawezekana hujamuelewa au ulishajiandaa kusikia jibu la kukera hivyo na wewe ukawa umeshamuandalia jibu lake.Msome tena kisha umsaidie kama itakupendeza bosi unaweza kuta umesaidia watu wengi zaidi kupitia swali lake.
Huyo ana lake jambo,kanikuta na mimi wala huwa sikereki. Na humu kuna mates kibao,hivyo yeye asiponipa mawazo mazuri kuna wengi tu watanipa tena including na hayo aliyotaka kunipa yeye.Mkuu mbona haujajibiwa kwa ujeuri,amekujibu yeye ni "ke" na pia akataka kujua kama Jinsia ina uhusiano wowote na maradhi ya kisukari,inawezekana hujamuelewa au ulishajiandaa kusikia jibu la kukera hivyo na wewe ukawa umeshamuandalia jibu lake.Msome tena kisha umsaidie kama itakupendeza bosi unaweza kuta umesaidia watu wengi zaidi kupitia swali lake.
Kwa nini?Umemdanganya
Too minor kusababisha kisukari.Usibishe. Protein zikizidi zinabadilishwa na kutunzwa kwenye mwili km starch. Mwili wa mwanadamu hauna uwezo wa kustore protein.