Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tafuta Blood Sugar monitor utembee nayo kwenye hand bag, siku hizi zipo ndogo zinakuja kwenye kit yake kama makeup bag. Ukiona sukari imezidi 7.9 baada ya kula inabidi unywe upate insulin, norma fasting is 4.0 - 5.4.
Uncontrolled Blood sugar is a recipe for over weight and heart attack.
 
Staff mwenzu alipima akakuta sukari iko juu mno na alikuwa ameanza kupoteza uwezo wa kuona vzr lkn ni km miezi mitatu tu yuko poa kabisa, ukipewa dawa hakikisha unafuatisha dozi ulivyoelekezwa, muhimu vyakula vyenye sukari epuka sn,
Nimeshafuta kabisa sukari kwenye menu zangu,mwezi ujao napima tena nitaona matokeo.
 
Tafuta Blood Sugar monitor utembee nayo kwenye hand bag, siku hizi zipo ndogo zinakuja kwenye kit yake kama makeup bag. Ukiona sukari imezidi 7.9 baada ya kula inabidi unywe upate insulin, norma fasting is 4.0 - 5.4.
Uncontrolled Blood sugar is a recipe for over weight and heart attack.
Asante mkuu,Mimi under fasting nipo 6,93
 
Mimi najua nikipima damu ndio huwa nafunga(sili chakula mpaka nitoke kwa doctor), lakini kupima mkojo nakula mpaka nafika mlagoni na hunywa maji nikifika ofisini kwake. Kuhusu kisukari jaribu kula matunda sana punguza au acha kula vyakula vya ovyo.

Juisi za makopo au chupa na soda achana nazo maziwa ya makopo acha vyakula vya makopo acha. Jitahidi kula fresh fruit,salad na juisi ya kutengeza nyumbani sukari weka kidogo sana.

Daktari hutoa ushauri wewe utekeleze tu, manake kuna baadhi ya madaktari hushindwa kufanya diet nao pia. Kuwa na kisukari sio tatizo tatizo kutofata miko yake nakutakia afya njema.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kikubwa hapo ni kufuata ushauri Wa tabibu, mazoezi yanaluhusu na punguza sn vyakula vyenye sukari, bia soda acha nakuhakikishia ndani ya miezi 2 mpk 3 utashangaa kabisa!
Asante sana,hivyo vyote nishaacha tokea kugundulika kwa sukari kubwa.
 
tozi25,
Asante sana,nimeacha sukari ingawa some times natamani ila nikikumbuka complications za sukari nyingi mwilini napata moyo,sitaki kufa kwa complications za kisukari.
 
Acha nicheke hivi protein zinarelate vipi na kisukari? Tuanzie hapo. Naona majibu yako siyo ya kitaalam kabisa. Ungeniambia Starch ningekuelewa.
Najua unapenda ubishi, hivi hujui protein ndo kitu chakula kikubwa kinachozalisha sumu kwa wingi mwilini! Unajua amino inavyopatikana mwilini na hujiulizi kwanini mwilini hakuna storage ya protini..hivi unajua kuwa kazi ya protini kwa mtu mzima kama wewe ni kwa kucha zako, nywele ni vi hormone vyako. Nakuonea huruma kwa sababu hujui pia kuwa unalichosha sana ini lako na hata mfumo wake mzima pamoja na kongosho hadi kushindwa kuzalisha insulini ya kutosha sababu ya hizo protini kwa wingi. Nawatamani sana kuwakaza wanawake wabishi kama wewe.
Na ndio maana najua umewasumbua sana madaktari kwa ugonjwa wako wa UTI ambao unakusumbua kwa muda mrefu.
 
Asante sana,nimeacha sukari ingawa some times natamani ila nikikumbuka complications za sukari nyingi mwilini napata moyo,sitaki kufa kwa complications za kisukari.
Yashinde matamanio dumisha afya.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
sinajinasasa,
Mkuu mbona haujajibiwa kwa ujeuri,amekujibu yeye ni "ke" na pia akataka kujua kama Jinsia ina uhusiano wowote na maradhi ya kisukari,inawezekana hujamuelewa au ulishajiandaa kusikia jibu la kukera hivyo na wewe ukawa umeshamuandalia jibu lake.Msome tena kisha umsaidie kama itakupendeza bosi unaweza kuta umesaidia watu wengi zaidi kupitia swali lake.
 
Kingsmann,
Asante kwa ushauri. Lakini unaona grams zimezidi normal. Inamaana pancréas yangu imefika limit na nikiendelea kuipa dozi za za sukari in 5 yrs itazidi hata hizo 7g.Kuhusu kupima nilipima mwenyewe maana huwa nina routine kila mwaka kupima blood full picture. Ndo this year nikakuta sukari imezidi normal. Kuhusu hospital ni goverment na lab scientist na ma Dr nawaamini kabisa.
 
Mkuu mbona haujajibiwa kwa ujeuri,amekujibu yeye ni "ke" na pia akataka kujua kama Jinsia ina uhusiano wowote na maradhi ya kisukari,inawezekana hujamuelewa au ulishajiandaa kusikia jibu la kukera hivyo na wewe ukawa umeshamuandalia jibu lake.Msome tena kisha umsaidie kama itakupendeza bosi unaweza kuta umesaidia watu wengi zaidi kupitia swali lake.
Yeye ni mbishi, swali nimemuuliza wewe ni ke au me, anaanza kuuliza tena ati kuna uhusiano gani na kumuuliza jinsia na kisukari, hajui kuwa mimi napenda ubishi.
 
Mkuu mbona haujajibiwa kwa ujeuri,amekujibu yeye ni "ke" na pia akataka kujua kama Jinsia ina uhusiano wowote na maradhi ya kisukari,inawezekana hujamuelewa au ulishajiandaa kusikia jibu la kukera hivyo na wewe ukawa umeshamuandalia jibu lake.Msome tena kisha umsaidie kama itakupendeza bosi unaweza kuta umesaidia watu wengi zaidi kupitia swali lake.
Huyo ana lake jambo,kanikuta na mimi wala huwa sikereki. Na humu kuna mates kibao,hivyo yeye asiponipa mawazo mazuri kuna wengi tu watanipa tena including na hayo aliyotaka kunipa yeye.
 
Kwa nini?

1084978

hii ni mfano wa monitor
 
Back
Top Bottom