Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Dozi inaitwa nani ?
Utoe mrejesho baada ya mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ni karibia miezi tisa tangu sukari irudi normal. Jana tarehe 21 Jan 2020 nilipima alfajiri nikaona nimshirikishe mdau wangu aliyetaka nilete mrejesho baada ya mwaka mmoja. Kumbuka tangu nianze kutumia dawa nakula kama kawaida tu wala sifuati masharti yoyote. Niliambiwa nitarufi kuishi normal life n ndicho nikifanyacho.

Picha ya kwanza ni baada ya kunywa dawa siku ya pili yake. Mwanzo sukari ilikiwa inafika 33 na iligoma kushuka kabisa.

Picha ya pili ni jana.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hiyo tiba mbadala ni ipi? Ulifanya nn mpaka sasa sukari imerudi normal kama hutajali naomba unishirikishe kuhusu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo tiba mbadala ni ipi? Ulifanya nn mpaka sasa sukari imerudi normal kama hutajali naomba unishirikishe kuhusu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitumia tiba mbadala mkuu. Nilipewa dawa na mzee mmoja ikamaliza tatizo ndani ya wiki moja ingawa ilikuwa dozi ya mwezi. Yatupasa tusidharau vya kwetu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nilitumia tiba mbadala mkuu. Nilipewa dawa na mzee mmoja ikamaliza tatizo ndani ya wiki moja ingawa ilikuwa dozi ya mwezi. Yatupasa tusidharau vya kwetu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Iseme ni dawa Gani na inapatikana wapi au Mpaka Conection
 
Poleni wenge haya maradhi
Kwa uzoefu wa Mzee.,mtu mzima 60+ ,aliumwa kidogo akapimwa kakutwa sukari 22..tangu hapo akawa ana'control diet...lishe yake imejikita kwenye protein na vitamins na mbogamboga kwa wingi...wanga anakula brown bread na viazi ulaya tu au akimiss kitu mfano wali anaonja tu
Ishashuka iko 6-10 hapo anajitahidi

Hata hivyo baada ya muda ikabidi apewe dawa pia mana 'nerves'/mishipa ya fahamu ilikua inamshtua

nilichojifunza
1.Chakula kiliwe kwa kiasi hasa wanga na vitu vya mafuta na vya sukari
-Jioni tule kidogo zaidi
2.Ulaji wa mbogamboga na jamii ya kunde na maharage ni mzuri zaidi
3.Mazoezi ni muhimu
4.Uzito wa mwili uwe wastani tu...zama za kuona unene na vitambi ni sifa tuachane nazo..ni maradhi yale
 
Nilitumia tiba mbadala mkuu. Nilipewa dawa na mzee mmoja ikamaliza tatizo ndani ya wiki moja ingawa ilikuwa dozi ya mwezi. Yatupasa tusidharau vya kwetu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Omba mawasiliano yako au namba yoyote ile ili nami nipate Dawa hiyo
 
Hivi karibuni nimekuwa nikifanya kazi fulani inayohusiana na kongamano lijulikanalo kama Get Your Sugar Off Summit ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka huko US na Canada.

Wakati nikipitia videos na documents zao zitakazotumika katika hilo kongamano, nilishangaa kuona wao wanapingana kuhusu mambo mengi ambayo tunayaamini mfano.

Wanadai chorestol ni nzuri kwa ajili ya ubongo hubongo unahitaji cholestorol.

Wanadai njia mojawapo ya kupambana na cancer na bacteria ni kuacha kutumia sukari maana wale vijidudu wanapenda sana sukari ili kuishi.

Wanadai Wali ni mbaya sana kwasababu una gluten

Wanadai vyakula vingi vinavyosemekana havina gluten vina gluten

Wanadai nyama ni nzuri sana hata ama ni nyama nyekundu haina madhara kwa mwili ni uongo tu wa madaktari.

Wanadai madawa mengi na magonjwa mengi tunayoambiwa yapo ni uongo wa viwanda vya kubuni madawa ili wapige ela na madawa yao ndiyo yanatufanya tuwe wagonjwa wametaja baadhi ya magonjwa.

Wanadai Round Up ni dawa mbaya sana na kumbe ulikuwa ugunduzi wa bahati mbaya maana mwanzo ilitengenezwa kwa ajili ya kusafishia mifumo ya mabomba ya viwanda ila ikagundulika haifai inaharifu mfumo wenyewe ila inaua magugu ndipo ikabadirishiwa kazi

Wanadai mbeleni matibabu yatakuwa yanafanyika kwa njia ya mwanga na sauti tu.

Kuna matibabu ya akili yanatumia frequency za sauti flani kutibu magonjwa ya ubongo.

Kwa mara ya kwanza nimejua matumizi ya kile kimfuko cha apendex, kwa madai yao ni kwamba kinatumika ku squeeze pancrease ili irelease insulin.

Kuna mambo mengi yamezungumzwa na kuna na research wanaendelea kuzifanya kuhusu magonjwa mbalimbali kama cancer, diabetes, Alzahemer, Stroke na mengine mengi.
 
Nilisoma kitabu cha Dr Sebi (RIP) anasema fasting is the best cure. Chakula unachokula na bacteria pamoja na virus wanakula hicho hicho.
 
Madai tu hayatoshi, tafiti hupingwa kwa tafiti.
 
Nilisoma kitabu cha Dr Sebi (RIP) anasema fasting is the best cure. Chakula unachokula na bacteria pamoja na virus wanakula hicho hicho.
Lakini pia fasting inakuweka kwenye risk ya matatizo mengine ya afya, dada Sky Eclat.
 
Lakini pia fasting inakuweka kwenye risk ya matatizo mengine ya afya, dada Sky Eclat.
Kwenye hicho kitabu alisema fasting ya siku 90 inamaliza magonjwa yote. Katika hizo siku 90 kunywa maji tu.

Nilijaribu masaa 12 nilianza kuiona harusi ya wazazi wangu kama video huku tumbo na ubongo vikikosa ushirikiano.
 
Hahaha...

Ubongo nahisi ndio ulianza kupata taabu maana unahitaji glucose pekee.

Ungepiga hata week moja. 😁😁
 
Hahaha...

Ubongo nahisi ndio ulianza kupata taabu maana unahitaji glucose pekee.

Ungepiga hata week moja. 😁😁
Kwa masaa 24 ya kwanza mwili unatumia glucose iliyohifadhiwa kwenye ini. Kichwa kitauma sana.

Baada ya hapo mwiliunaanza kula akiba ya kwenye muscles. Ubongo unahitaji glucose na oxygen 24/7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…