elly stambuli
Member
- Jul 13, 2009
- 31
- 4
MziziMkavu,
Asante
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipata sukari ghafla ikawa inasoma mpaka 33. Lakini napenda kuwashirikisha kuwa nimepona kwa tiba mbadala sasa nina miezi miwili naishi kawaida kabisa.
Ok
Dozi inaitwa nani ?
Leo ni karibia miezi tisa tangu sukari irudi normal. Jana tarehe 21 Jan 2020 nilipima alfajiri nikaona nimshirikishe mdau wangu aliyetaka nilete mrejesho baada ya mwaka mmoja. Kumbuka tangu nianze kutumia dawa nakula kama kawaida tu wala sifuati masharti yoyote. Niliambiwa nitarufi kuishi normal life n ndicho nikifanyacho.
Hiyo tiba mbadala ni ipi? Ulifanya nn mpaka sasa sukari imerudi normal kama hutajali naomba unishirikishe kuhusu hiloLeo ni karibia miezi tisa tangu sukari irudi normal. Jana tarehe 21 Jan 2020 nilipima alfajiri nikaona nimshirikishe mdau wangu aliyetaka nilete mrejesho baada ya mwaka mmoja. Kumbuka tangu nianze kutumia dawa nakula kama kawaida tu wala sifuati masharti yoyote. Niliambiwa nitarufi kuishi normal life n ndicho nikifanyacho.
Picha ya kwanza ni baada ya kunywa dawa siku ya pili yake. Mwanzo sukari ilikiwa inafika 33 na iligoma kushuka kabisa.
Picha ya pili ni jana.View attachment 1365912View attachment 1365916
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Nilitumia tiba mbadala mkuu. Nilipewa dawa na mzee mmoja ikamaliza tatizo ndani ya wiki moja ingawa ilikuwa dozi ya mwezi. Yatupasa tusidharau vya kwetuHiyo tiba mbadala ni ipi? Ulifanya nn mpaka sasa sukari imerudi normal kama hutajali naomba unishirikishe kuhusu hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Iseme ni dawa Gani na inapatikana wapi au Mpaka ConectionNilitumia tiba mbadala mkuu. Nilipewa dawa na mzee mmoja ikamaliza tatizo ndani ya wiki moja ingawa ilikuwa dozi ya mwezi. Yatupasa tusidharau vya kwetu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Tiba asili? Siijui jina. Labda nimtafute mhusika.Iseme ni dawa Gani na inapatikana wapi au Mpaka Conection
Tiba asili? Siijui jina. Labda nimtafute mhusika.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Omba mawasiliano yako au namba yoyote ile ili nami nipate Dawa hiyoNilitumia tiba mbadala mkuu. Nilipewa dawa na mzee mmoja ikamaliza tatizo ndani ya wiki moja ingawa ilikuwa dozi ya mwezi. Yatupasa tusidharau vya kwetu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kwenye hicho kitabu alisema fasting ya siku 90 inamaliza magonjwa yote. Katika hizo siku 90 kunywa maji tu.Lakini pia fasting inakuweka kwenye risk ya matatizo mengine ya afya, dada Sky Eclat.
Hahaha...Kwenye hicho kitabu alisema fasting ya siku 90 inamaliza magonjwa yote. Katika hizo siku 90 kunywa maji tu.
Nilijaribu masaa 12 nilianza kuiona harusi ya wazazi wangu kama video huku tumbo na ubongo vikikosa ushirikiano.
Kwa masaa 24 ya kwanza mwili unatumia glucose iliyohifadhiwa kwenye ini. Kichwa kitauma sana.Hahaha...
Ubongo nahisi ndio ulianza kupata taabu maana unahitaji glucose pekee.
Ungepiga hata week moja. 😁😁