Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Somo zuri
 
Pole Sana. Lakini pia nakushauri ukiweza jaribu dawa yangu ya kisukari. Kiujumla imesaidia wengi .
 
Habari Wana JF,

Naomba kufahamishwa taasisi inayohusika na ugonjwa wa kisukari, jina lake na mahali ilipo kwa Tanzania.

NB: Nahitaji data na Elimu ya Diabetes kwa ujumla.
 
Hospital
Kuna clinic za wagonjwa wa kisukari
Nenda ulizia kwa Mkoa uliopo.
 
Habari Wana JF.
Naomba kufahamishwa taasisi inayohusika na ugonjwa wa kisukari, jina lake na mahali ilipo kwa Tanzania.
Kama upo Dar pale njia panda ya kwenda mbezi beach na kawe mbele kidogo ipo Diabete clinic inatazamana na yale majengo ya NHC ambayo ayajamalizika.

Nna rafiki angu Mhindi ni Dr Specialist wa Kisukari yeye anatibu kabisa mtu anapona 100%.Ila yupo India kama hutamuhitaji
 
Nawashukuru Sana lakin, nahitaji sababu ya kujifunza si matibabu maan sina hilo tatizo,
 

Fantastic observations iArmaniAdamson. Kindly see also Kushusha Sukari Kienyeji
 
Maji tu huwezi kufa lakini mafuta yote yatakwisha.

Siku 90 maji tu... nakumbuka wafungwa fulani waliweka mgomo wa kula, wakawa wanakunywa maji tu... walianza kufa mmojammoja Ulaya huko miaka ilee... Siku hizi wanapembejea "intermittent fasting" kama njia bora ya kupunguza unene, na kupambana na magonjwa yasiyoambukiza.

Kuhusu kisukari: rejea pia Kushusha Sukari Kienyeji
 
Round up ni kiboko nimepulizia shamba hadi ardhi imebadilika rangi na imekuwa Kama imeoza vile
Nyie mnaojifanya mnalima kisasa ndio mnatuharibia ardhi mwishowe udongo usiweze kutoa rutuba ya mazao tuanze kufa kwa njaa.
 
Kwenye hicho kitabu alisema fasting ya siku 90 inamaliza magonjwa yote. Katika hizo siku 90 kunywa maji tu.

Nilijaribu masaa 12 nilianza kuiona harusi ya wazazi wangu kama video huku tumbo na ubongo vikikosa ushirikiano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmmmmmhmn Yesu mwenyewe tu aliweza kukomaa siku 40 na ni mtoto wa MUNGU, sasa sisi wengine tutaweza....
 

Kapate ushauri wa daktari wako.

Juisi ya mchicha mbichi: Kushusha Sukari Kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…