Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni borderline bwana sio high within the prediabetes rangeIt's quiet high.
Kwa majibu haya, inawezekana una ugonjwa wa kisukari na hiyo ganzi ni madhara ya kuwa na kisukari kwa muda mrefu bila kutibiwa. Nakushauri ufike kituo cha kutolea huduma za afya na kupata matibabu na ushauri wa kitaalamu.mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 61 nimepima kisukari nimeambiwa nina 13.7. Je, wana jf mnanipa ushauri gani?
Pia miguu inakufa ganzi kwa mbele hata nikivaa ndala yaweza kuchomoka bila mimi kujua sasa basi wana jf
Nisaidien ushauri na tiba ya tatizo hilo.
Tuko wengi sana asee, tena wengine zaidi ya huo.Pole,kweli JF ni zaidi ya kijiji sikufahamu kuwa MTU mwenye umri kama wako anaweza kuwepo humu.
...hahahaa Mkuu! Wahenga tupo wengu humu kuliko unavyoweza kudhani![emoji16] mimi nina 60...mkuu kanizidi mwaka mmoja tu!![emoji16]Pole,kweli JF ni zaidi ya kijiji sikufahamu kuwa MTU mwenye umri kama wako anaweza kuwepo humu.
Shikamoo kaka,pole naomba uwahi hospital tafadhalimimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 61 nimepima kisukari nimeambiwa nina 13.7. Je, wana jf mnanipa ushauri gani?
Pia miguu inakufa ganzi kwa mbele hata nikivaa ndala yaweza kuchomoka bila mimi kujua sasa basi wana jf
Nisaidien ushauri na tiba ya tatizo hilo.
kwa umri alio nao Kisukari si ajabuUna ugonjwa unaitwa diabetic peripheral neuropathy
Tumia dawa hii
Imipramine 100mg kila Siku ganzi iishe
Na pia jitahidi kula vyakula visivyo na sukari,ufanye mazoezi na pia utumie na dawa za kumeza
Metformin 500mg twice before meal