mustapha hashimu
Senior Member
- Jan 25, 2017
- 145
- 30
Sup ya nyama nyeupe au nyekundu??Sup ya nyama nyekundu au nyeupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sup ya nyama nyeupe au nyekundu??Sup ya nyama nyekundu au nyeupe
Sup ya nyama nyekundu au nyeupe
Sawa maana hospital nimeambiwa nisitumie nyama nyekunduKunywa supu yoyote, nyama nyekundu haina athari yoyote ni uzushi kusema ina madhara. Kula nyama yoyote, nyama hazina madhara.
Mkuu unazungumziaje karanga, korosho nisalama kutumia kama kiungo cha mbogaKunywa supu yoyote, nyama nyekundu haina athari yoyote ni uzushi kusema ina madhara. Kula nyama yoyote, nyama hazina madhara.
Sawa maana hospital nimeambiwa nisitumie nyama nyekundu
Kula mpaka ugare gare, unaishi wapi nikupe hicho kitabu kitakusaidia sana. Vitu vingi tunavyoambiwa hospitali si vya kweli, maana WHO wanakuwa washabadilisha wao wamecrame.Mkuu unazungumziaje karanga, korosho nisalama kutumia kama kiungo cha mboga
Sawa kiongozi wangu aiseeh niko Nachingwea LindiKula mpaka ugare gare, unaishi wapi nikupe hicho kitabu kitakusaidia sana. Vitu vingi tunavyoambiwa hospitali si vya kweli, maana WHO wanakuwa washabadilisha wao wamecrame.
Mimi mama yangu pia alikuwa na sukari 19 ila kwa sasa inasoma 8 mpaka 9 . Na bado inashuka kidogo kidogo .
Sawa kiongoz wangu aiseeh niko nachingwea lindi
Mayai ruksa kula mtu mwenye kisukari?Kwanini mayai ni matatu tu kwa week?
Best post ever ....
Mayai ruksa kula mtu mwenye kisukari?
Mayai ruksa kula mtu mwenye kisukari??
Nenda hospital ila ni 3 www KIU SANA, KUKOJOA SANA, MWILI MLEGEVUMambo vipi wadau wa JF!
Naombeni kujua dalili za mwanzo za ugonjwa wa kisukari(Diabetes) !!
Na akifanya maha anakufaNakuelekeza kafanye mwenyewe ss hivi. Kojoa mkojo wako kinga kidogo kwenye kifuniko cha maji ya kunywa halafu unywe huo mkojo. Ukikuta una sukari wahi hospitali mapema ukaanze matibabu ama rekebisha ulaji wako
Nenda hospitali kapime damu Full blood picture itaonyesha una maradhi gani yaliyo jificha? huendapia una upungufu wamadini ya chuma au vitamin mwilini mwako au unayo asidi nyingi ndio maana mwili unachoka pasipo na sababu. Je ugonjwa wako wakisukari umepona kabisa?Kama hujapona kabisa nitafute mimi nipate kukutibia maradhi yako. Na je una kilo ngapi mwilini mwako?mimi ninmuatghirika wa ugonjwa wa sukar lakin kutoka na kufuata masharti na kutumia dawa za aina mbali mbali naona sukar iko normal kabla sijala inasoma tano nkiwa nmekula ni saba na vipoint shida ni kua mwil wangu bado umendea kua dhaifu ssna, uchovu mwng yan bado sina aman nmeshapima typhoid, malaria na UTI zote hakuna....plz doctor nisaidie
Mkuu hyo nishapima na waksema iko poa kabisaNenda hospitali kapime damu Full blood picture itaonyesha una maradhi gani yaliyo jificha? huendapia una upungufu wamadini ya chuma au vitamin mwilini mwako au unayo asidi nyingi ndio maana mwili unachoka pasipo na sababu. Je ugonjwa wako wakisukari umepona kabisa?Kama hujapona kabisa nitafute mimi nipate kukutibia maradhi yako. Na je una kilo ngapi mwilini mwako?