Tatizo la gundi (tapes) katika madirisha ya alluminium

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike ambazo zina nembo ya kampuni iliyotengeneza.

Nilipoyaweka fundi alishauri tusiyabandue mpaka siku ya kupiga rangi ndipo yatolewe ili rangi isiingie kwenye frames za aluminium.

Ilipita karibu mwaka sijapiga rangi ile nyumba na nilipokuja kupiga yale ma-tapes yaka yameshapigwa na jua na kushikana na frames za dirisha. Nimejaribu kuyatoa nimeshindwa.

Kama kuna mdau alishawahi kukutana na tatizo kama hili alitumia njia gani kuyaondoa?

Funza
 
Mwanaume wa Dar ameshindwa kubandua karatasi ya utambulisho wa kampuni kwenye fremu za madirisha ya aluminium!
Chips inalemeza watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukikua na ukijenga ndio utaelewa anacho zungumzia mtoa mada....kwasasa endelea kuangalia desire azam 2 hapo kwa shemeji!
 
Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike ambazo zina nembo ya kampuni iliyotengeneza.

Nilipoyaweka fundi alishauri tusiyabandue mpaka siku ya kupiga rangi ndipo yatolewe ili rangi isiingie kwenye frames za aluminium.

Ilipita karibu mwaka sijapiga rangi ile nyumba na nilipokuja kupiga yale ma-tapes yaka yameshapigwa na jua na kushikana na frames za dirisha. Nimejaribu kuyatoa nimeshindwa.

Kama kuna mdau alishawahi kukutana na tatizo kama hili alitumia njia gani kuyaondoa?

Funza
Tumia petrol au thinner itaondoa hiyo
 
Mwanaume wa Dar ameshindwa kubandua karatasi ya utambulisho wa kampuni kwenye fremu za madirisha ya aluminium!
Chips inalemeza watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungetumia akili kidogo kuelewa ungekuja na jibu zuri sana ila kwa kuwa hata nachoongea ukijui basi wenye akili tunakusamehe bure
 
Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike ambazo zina nembo ya kampuni iliyotengeneza.

Nilipoyaweka fundi alishauri tusiyabandue mpaka siku ya kupiga rangi ndipo yatolewe ili rangi isiingie kwenye frames za aluminium.

Ilipita karibu mwaka sijapiga rangi ile nyumba na nilipokuja kupiga yale ma-tapes yaka yameshapigwa na jua na kushikana na frames za dirisha. Nimejaribu kuyatoa nimeshindwa.

Kama kuna mdau alishawahi kukutana na tatizo kama hili alitumia njia gani kuyaondoa?

Funza

Tumia wembe kukwangua taratibu hiyo gundi ya sticker.
Wembe ni mzuri kuondoa hata gundi iliyobakia kwenye kioo baada ya kutoa sticker ( eg kioo cha gari)

Kazi hii inaweza kukuchua siku kadhaa kuimaliza ingawa inategemea na idadi ya madirisha. Ila ifanye taratibu.
Anayeliwa huwa hakui.

Tatizo kama hili nimeshakumbana nalo sticker kwenye Aluminum zilikaa karibia miaka mi5 hivi.

Nilitumia solvent na thinner lakini hazikufanya lo lote la maana.

Unatakiwa unalaza wembe kidogo unapokwangua.
Nina uhakika utafanikiwa na utafurahia kazi ya kiwembe.
 
Okay ngoja nijaribu nione. Nimeweka zile aluminium za rangi nyeupe nitatafuta vijana wenye weledi wakwangue bila kuacha alama
 
Hakikisha kwamba madirisha ni ya Aluminum kabla ya kukwangua na kiwembe. Yasiwe ya PVC *
 
Basi tumie kiwembe.
Kama unaweza jaribu na kiwembe kwanza eneo dogo. Ukiona matokeo mazuri endelea.

Nilikuwa na tatizo kama lako kwa zaidi ya miaka mi5 na sticker hizo zilikuwa zimekaukia kabisa kwenye aluminum.
Fundi alichukua kama wiki 2 hivi kumailiza hiyo kazi ambapo ilikuwa madirisha 25 jumla.
Usikate tamaa, taaratibu tu, mdogomdogo.
Analiyeliwa hakuagi !!
 
Nilikosa ela sababu ya iyo kitu,nilitumia dawa zote ila wapi,
 
Back
Top Bottom