Mwanaume wa Dar ameshindwa kubandua karatasi ya utambulisho wa kampuni kwenye fremu za madirisha ya aluminium!
Chips inalemeza watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mkubwa na nimejenga hata sasaUkikua na ukijenga ndio utaelewa anacho zungumzia mtoa mada....kwasasa endelea kuangalia desire azam 2 hapo kwa shemeji!
Ni mkubwa na nimejenga hata sasa
Tumia petrol au thinner itaondoa hiyoNilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike ambazo zina nembo ya kampuni iliyotengeneza.
Nilipoyaweka fundi alishauri tusiyabandue mpaka siku ya kupiga rangi ndipo yatolewe ili rangi isiingie kwenye frames za aluminium.
Ilipita karibu mwaka sijapiga rangi ile nyumba na nilipokuja kupiga yale ma-tapes yaka yameshapigwa na jua na kushikana na frames za dirisha. Nimejaribu kuyatoa nimeshindwa.
Kama kuna mdau alishawahi kukutana na tatizo kama hili alitumia njia gani kuyaondoa?
Funza
Wewe wasema. Bila shaka bado kwa wazazi wako au kwa shemeji yao unafugwa na kulishwaHuwezi kuwa umejenga ukawa na akili ya namna hii. Itakuwa umetengeneza sehemu ya kujificha.
Ungetumia akili kidogo kuelewa ungekuja na jibu zuri sana ila kwa kuwa hata nachoongea ukijui basi wenye akili tunakusamehe bureMwanaume wa Dar ameshindwa kubandua karatasi ya utambulisho wa kampuni kwenye fremu za madirisha ya aluminium!
Chips inalemeza watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi kuwa umejenga ukawa na akili ya namna hii. Itakuwa umetengeneza sehemu ya kujificha.
Kwa hiyo na wewe uko kwenye kundi la wenye akili?Ungetumia akili kidogo kuelewa ungekuja na jibu zuri sana ila kwa kuwa hata nachoongea ukijui basi wenye akili tunakusamehe bure
Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike ambazo zina nembo ya kampuni iliyotengeneza.
Nilipoyaweka fundi alishauri tusiyabandue mpaka siku ya kupiga rangi ndipo yatolewe ili rangi isiingie kwenye frames za aluminium.
Ilipita karibu mwaka sijapiga rangi ile nyumba na nilipokuja kupiga yale ma-tapes yaka yameshapigwa na jua na kushikana na frames za dirisha. Nimejaribu kuyatoa nimeshindwa.
Kama kuna mdau alishawahi kukutana na tatizo kama hili alitumia njia gani kuyaondoa?
Funza
Okay ngoja nijaribu nione. Nimeweka zile aluminium za rangi nyeupe nitatafuta vijana wenye weledi wakwangue bila kuacha alamaTumia wembe kukwangua taratibu hiyo gundi ya sticker.
Wembe ni mzuri kuondoa hata gundi iliyobakia kwenye kioo baada ya kutoa sticker ( eg kioo cha gari)
Kazi hii inaweza kukuchua siku kadhaa kuimaliza ingawa inategemea na idadi ya madirisha. Ila ifanye taratibu.
Anayeliwa huwa hakui.
Tatizo kama hili nimeshakumbana nalo sticker kwenye Aluminum zilikaa karibia miaka mi5 hivi.
Nilitumia solvent na thinner lakini hazikufanya lo lote la maana.
Unatakiwa unalaza wembe kidogo unapokwangua.
Nina uhakika utafanikiwa na utafurahia kazi ya kiwembe.
🤣 🤣 🤣 🤣kwasasa endelea kuangalia desire azam 2 hapo kwa shemeji!
Okay ngoja nijaribu nione. Nimeweka zile aluminium za rangi nyeupe nitatafuta vijana wenye weledi wakwangue bila kuacha alama