Tatizo la gundi (tapes) katika madirisha ya alluminium

Tape hizo zikikaa sana wakati wa kubandua zikitoka zinaacha alama

Ova
 
duuh 25 windows? Hawa mafundi wa alluminium hawajuo hili tatizo mpka wanawaingiza wateja kwenye hasara?
 
Ethanol, petrol itamaliza hiyo kazi asubuhi na mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…