Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu kwa hilo tatizo, Ila nawaza kwa sauti hivi ulisoma kile kipindi cha mgomo wa walimu au? Nawaza tuWanajamii folum kwa mda sasa na tatizo la kupumua halufu nzito na kutoa halufu mbaya mdomoni inayo pelekea kunipa usumbufu kuwasilina na watu naomben msaada mawazo na nitumie dawa gan
Wanajamii folum kwa mda sasa na tatizo la kupumua halufu nzito na kutoa halufu mbaya mdomoni inayo pelekea kunipa usumbufu kuwasilina na watu naomben msaada mawazo na nitumie dawa gan