umurumaithaa
Member
- May 9, 2015
- 70
- 8
Habari wakuu nna ndugu yangu anatafta mtoto toka kuolewa ni mwaka wa 3 ila hajashika ujauzito kashapima vipimo vyote ila ikifika kwenye homoni anakutwa zinapishana, afanye nn ili kurudisha katika hali ya kawaida ili aweze kushika mimba na je, hatoweza kushika mimba tena ikiwa hazitakaa sawa ? (normal )