Tatizo la homoni kutokaa sawa (normal hormone inbalance)

Tatizo la homoni kutokaa sawa (normal hormone inbalance)

umurumaithaa

Member
Joined
May 9, 2015
Posts
70
Reaction score
8
Habari wakuu nna ndugu yangu anatafta mtoto toka kuolewa ni mwaka wa 3 ila hajashika ujauzito kashapima vipimo vyote ila ikifika kwenye homoni anakutwa zinapishana, afanye nn ili kurudisha katika hali ya kawaida ili aweze kushika mimba na je, hatoweza kushika mimba tena ikiwa hazitakaa sawa ? (normal )
 
Huko alipo pima ni wapi wakamwambia homones haziko sawa?

Nijuavyo kuna vidonge kama ni hospitali lazima wampe vidonge vya kuweka homon poa,


Jina nimelisahau kidogo,
Akishaweka sawa homoni na mtoto atapata in shaa Allah.
 
a google tu how to level hormone atapata jibu hana haja ya kwenda hospital
 
Back
Top Bottom