Tatizo la infection kwa watoto, nini chanzo?

Tatizo la infection kwa watoto, nini chanzo?

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,266
Reaction score
1,264
Naandika thread hii nikiwa na majonzi baada ya kumpoteza mtoto wangu kipenzi kwa tatizo hili la infection kwenye damu. Lilianza toka akiwa na miezi 6, hakuwahi pata malaria wala UTI kila mara anapata homa na vipimo vinaonesha ana infection . alikuwa akipewa antibiotics na tatizo linaisha then baada ya wiki 2 linarudi.

Hili limekuwa tatizo kubwa sana na wazazi wengi watoto wao wamekumbwa na tatizo hilo. Tafadhali Dr. kwa faida ya wazazi na watoto wetu hebu leo tujuze hii shida ya infection nini chanzo na matibabu halisi ya hili tatizo.

Asante.
 
Back
Top Bottom