D Davies_007 Member Joined Apr 22, 2010 Posts 59 Reaction score 0 Apr 16, 2011 #1 wandugu Habari zenu, Kuna Mdogo wangu anamiaka 15 anatatizo la Ini, Naomba Ushauri wenu wa Chakula Anachopaswa Kula
wandugu Habari zenu, Kuna Mdogo wangu anamiaka 15 anatatizo la Ini, Naomba Ushauri wenu wa Chakula Anachopaswa Kula
Onambali Member Joined Mar 11, 2011 Posts 67 Reaction score 10 Apr 16, 2011 #2 Davies_007 said: wandugu Habari zenu, Kuna Mdogo wangu anamiaka 15 anatatizo la Ini, Naomba Ushauri wenu wa Chakula Anachopaswa Kula Click to expand... Pole sana, Angalia link hii hapa The Best Foods to Eat with a Liver Problem | eHow.com kuhusu ushauri wa vyakula. Pia hii hapa What to Eat When You Have Liver Problems | eHow.com
Davies_007 said: wandugu Habari zenu, Kuna Mdogo wangu anamiaka 15 anatatizo la Ini, Naomba Ushauri wenu wa Chakula Anachopaswa Kula Click to expand... Pole sana, Angalia link hii hapa The Best Foods to Eat with a Liver Problem | eHow.com kuhusu ushauri wa vyakula. Pia hii hapa What to Eat When You Have Liver Problems | eHow.com
Outlier JF-Expert Member Joined Dec 28, 2008 Posts 323 Reaction score 18 Apr 19, 2011 #3 Matatizo ya ini yako ya aina mbalimbali na ushauri wa lishe inategemeana na ugonjwa alionao, stage Yake nk; ni bora kupata ushauri kwa daktari anayemtibu.
Matatizo ya ini yako ya aina mbalimbali na ushauri wa lishe inategemeana na ugonjwa alionao, stage Yake nk; ni bora kupata ushauri kwa daktari anayemtibu.