Tatizo la Ini

Tatizo la Ini

Davies_007

Member
Joined
Apr 22, 2010
Posts
59
Reaction score
0
wandugu Habari zenu,

Kuna Mdogo wangu anamiaka 15 anatatizo la Ini, Naomba Ushauri wenu wa Chakula Anachopaswa Kula
 
Matatizo ya ini yako ya aina mbalimbali na ushauri wa lishe inategemeana na ugonjwa alionao, stage Yake nk; ni bora kupata ushauri kwa daktari anayemtibu.
 
Back
Top Bottom