Tatizo la iPhone 14 kutochaji tatizo linaweza kuwa nini? Nimejaribu Njia zote

Gospel KTV

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2025
Posts
343
Reaction score
493
Wakuu habari,

Nina iPhone 14 ambayo imeacha kuchaji kabisa. Nikiweka cable kwenye charging port haichaji kabisa. Nimejaribu njia zote lakini bado haichaji.

Kwa wenye uzoefu na iPhone 14, tatizo kama hili linaweza kuwa nini?

Naomba msaada hasa kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili na jinsi lilivyotatuliwa.

Asanteni.
 
Inaweza kuwa charging port imejaa uchafu, cable/adapter ina tatizo, au battery/charging IC. Anza kwa kujaribu cable nyingine original, safisha port kwa uangalifu; ikigoma bado, peleka kwa fundi mwenye uzoefu wa iPhone afanye diagnosis.
 
Shukrani sana
 
Izo simu zina njia mbili za kuchaji yaani kwa waya na wayalesi (wire.wireless) umetumia zote?
 
Sehemu ya kuchaji inaweza kuwa imejaa uchafu jaribu kuutoa kwa pini kwa uangalifu sana alafu weka tena chaji uone kama inapeleka
 
Back
Top Bottom