Gospel KTV
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 343
- 493
ShukraniNgoja waje wenye iphone
Ni kwelisijui kwa kweli hizo simu zina matatizo mengi sana
maana hata mfukoni haziwezi kukaa
Inaweza kuwa charging port imejaa uchafu, cable/adapter ina tatizo, au battery/charging IC. Anza kwa kujaribu cable nyingine original, safisha port kwa uangalifu; ikigoma bado, peleka kwa fundi mwenye uzoefu wa iPhone afanye diagnosis.Wakuu habari,
Nina iPhone 14 ambayo imeacha kuchaji kabisa. Nikiweka cable kwenye charging port haichaji kabisa. Nimejaribu njia zote lakini bado haichaji.
Kwa wenye uzoefu na iPhone 14, tatizo kama hili linaweza kuwa nini?
Naomba msaada hasa kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili na jinsi lilivyotatuliwa.
Asanteni.
Shukrani sanaInaweza kuwa charging port imejaa uchafu, cable/adapter ina tatizo, au battery/charging IC. Anza kwa kujaribu cable nyingine original, safisha port kwa uangalifu; ikigoma bado, peleka kwa fundi mwenye uzoefu wa iPhone afanye diagnosis.
I second this, tafuta wireless charger ichaji, kama inakubali ina maana simu yako nzima tatizo ni charging port, kama Hadi wireless charger inazingua ni tatizo kubwa zaidi.Nunua wireless charger.