tatizo la jino

Prince Akeem

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
884
Reaction score
376
Za saa hizi waungwana. Mimi ninaumwa jino na nipo Kilimanjaro.
Nasikia hindu mandali wanauwezo wa kutoa jino bila sindano au wanakupaka dawa afu wanakuchoma sindano bila maumivu.?
Na je bima ya Afya inatumika.
nataka nitoke moshi nije dar
 
Ikiwa limetobolewa na mdudu dwa yake ni hii
Tafuta mgomba uliokatwa muda mrefu kias cha shina lililobaki kunyauka maganda ya nje.Katikati ya hicho kisiki cha mgomba kuna ganda lenye unyevunyevu/halijakauka kama yale ya nje.Chukua kinyuz kidogo kutoka ktk hilo gamba bichi la katikati kisha kichomeke ktk tundu lilitobolewa na mdudu.Ukiweka utasikia ubarid kisha joto kisha itapoa fanya ivyo mara tatu mdudu mtoboa jino atakufa.Ukifanikiwa kama mimi sambaza tiba kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…